Kweli kabisa mkuu.alisema msomi mmoja kuwa (natafsiri kwa lugha ya taifa) "huwa mara nyingi haimwachi salama mtenda lazima imrudie kwa kiasi kile kile alichotenda kwa mwenzake au inazidi kuliko yule mtendewa sasa akibahatika isimpate basi atawapa tabu kidogo tu uzao wake Ila asilimia 99 huwa zinampata mhusika nashauri tutende wema kwa kila mtu kwani binadamu hatilii maanani jambo zuri hadi limpate ndo anarudi nyuma kutafakari"
Mkuu Kuna curse na Karma hiyo curse inaweza isikupate wewe ikapata vizazi vyako Cha tatu Hadi Cha nne Kama Bible ilivyosema. Ila karma hachelewi kabla hujaondoka duniani lazima uisome namba ya ubaya uliomtendea mwenzio.It is called CURSE --- laana
Kwanini alivyoumwa vidonda mkafikiria angle hiyo kua itakua ni kutokana na manyanyaso aliyomfanyia mtoto?Kuna MTU alimnyanyasa kijana wake zaidi ya miaka 19 huu mwaka WA ishirini kipindi cha Corona aliona haitoshi alimkashifu Kwa maneno kuwa hamtambui,afuate maisha yake , baada ya muda mfupi Yule Baba amepata mavidonda ya ajabu. Familia imeamua kumfungia ndani, sijui ndio KARMA?.
Ndio maana nimeuliza maana hii kitu ya KARMA huwa siamini kama IPO maana wabaya wengi wanapeta tu.Kwanini alivyoumwa vidonda mkafikiria angle hiyo kua itakua ni kutokana na manyanyaso aliyomfanyia mtoto?
Hiyo inaitwa "Post Hoc, Ergo Propter" ni uzushi ambao una elements za assumptions kwamba tukio la nyuma ndio sababu iliyopelekea tukio la baadae kutokea
Ni sawa na paka mweusi amekupita miguuni mwako humjui kaingia ndani mwako halafu punde unamsikia mkeo ambaye yuko ndani mwako analia kua kichwa kinamuuma.
Hapo ndio unajikuta unaajenga imani potofu kua paka aliyeingia ndani muda si mrefu kabla ya mkeo kuanza kuumwa ndio chanzo cha mkeo mpaka kichwa kimuume
Hiyo ndiyo curse aisee! Unaelewa maana ya laana kweli?Mkuu Kuna curse na Karma hiyo curse inaweza isikupate wewe ikapata vizazi vyako Cha tatu Hadi Cha nne Kama Bible ilivyosema. Ila karma hachelewi kabla hujaondoka duniani lazima uisome namba ya ubaya uliomtendea mwenzio.
God has an appropriate time for their due retribution; wala hata usisumbuke na hilo kabisaNdio maana nimeuliza maana hii kitu ya KARMA huwa siamini kama IPO maana wabaya wengi wanapeta tu.
Hamjaachaga kubabaisha tu? Kuna visa mamilioni kwa mamilioni vinatokea kila kukicha; usiseme ni sheer coincidenceKwanini alivyoumwa vidonda mkafikiria angle hiyo kua itakua ni kutokana na manyanyaso aliyomfanyia mtoto?
Hiyo inaitwa "Post Hoc, Ergo Propter" ni uzushi ambao una elements za assumptions kwamba tukio la nyuma ndio sababu iliyopelekea tukio la baadae kutokea
Ni sawa na paka mweusi amekupita miguuni mwako humjui kaingia ndani mwako halafu punde unamsikia mkeo ambaye yuko ndani mwako analia kua kichwa kinamuuma.
Hapo ndio unajikuta unaajenga imani potofu kua paka aliyeingia ndani muda si mrefu kabla ya mkeo kuanza kuumwa ndio chanzo cha mkeo mpaka kichwa kimuume
Hakuna kitu cha KARMA kihalisia nje ya msemo.Ndio maana nimeuliza maana hii kitu ya KARMA huwa siamini kama IPO maana wabaya wengi wanapeta tu.
Visa hivyo unavihusishaje na KARMA na sio kwamba kuna kitu kingine usichokijua kimesababisha?Hamjaachaga kubabaisha tu? Kuna visa mamilioni kwa mamilioni vinatokea kila kukicha; usiseme ni sheer coincidence
[emoji1][emoji1][emoji38][emoji16]Hii Karma inanisumbua sana. Nikimuibia mtu kitu mm naibiwa/ kupoteza Kikubwa zaidi hadi naumia sana.
Imagine Naiba earphones hata elfu 20 hazifiki napoteza simu ya milioni 1.5
Na sauti ya karma inanijia