Sasa hiyo laki mbili unanunua ng'ombeNilimwambia shemejio kwa jinsi ulivyoniumiza wiki hii nakutoza ng'ombe. Kiutani utani tu tukawa tunaongea story zingine (tulikua na wiki tunamigogoro)
Niakaona imethibitiwshwa 200k, akanipigia akasema "kanunue utakachotaka Ng'ombe sijui nitakapoitoa"
Mwanamke akikupenda Anakupenda kwa moyo woooote. Omba kupendwa ndugu
OkAisee. Kwake hiyo laki 5 ya Ng'ombe kidogo Sana
Kwahiyo chumba ulilipia halafu hukukitumia sawa bepariStory moja hivi nawapa, so back then 2019, nilikutana na pisi kali tukazoeana fresh. tukuchat sanaaa. And damn she was smart and confident. Basi one day akaniambia tutoke so akachagua place, mwamba nikajipanga fresh Kama na 300k hivii. Mtoto alikuwa kwao Mambo safi sana, tukaenda hotel moja jivii kwa ajili ya msosi na swimming. Basi it was such a romantic time.... Fresh.
Basi bwana nikajua Leo lazima nismarsh. Ilipofika mida ya saa mbili nikamwambia tujipange kurudi manaake kesho ni jumapili na kwao ni watu wa dini sana. Guess wha? She told me kwao kaaga and ameorder more food and room pale, MOYO ukadunda Kama wa tom the cat [emoji250], akaniambia Kama sio pale hotelini i will not smash her kuda! Bill ya the whole day imekuja 170k, mwamba nikalipa nikajua room nitalipia kwa card so nikaenda reception nikaulizia order yake na room nikatoa card mwamba 270k daah ila kwa Yule mtoto nikasema no way. Tukakaa mida ya kwenda room akaniambia nimeghaili anataka twende home kwangu pale she feels not home. Dadekii, nikajikaza kibishi ukicheki mtoto nampenda hatari.
Basi tukafika home, the night was hell Yeah [emoji91][emoji91][emoji91]. Asubuhi naamka akasema anaenda kwao nimsindikize, tukachukua bajaji hadi kwao ile anashuka tuu akaniambia ukifika home cheki chini ya mto whaaaat nikawaza nisije kuta ARVs Nway nikarudi home nikacheki chini ya mto nikakuta 600k and a note stating "YOU ARE THE MEN WITH GUTS" now she is my baby mama one year happily married [emoji7][emoji7][emoji1635][emoji2530][emoji1374][emoji23]
Paukwa...pakawa....Story moja hivi nawapa, so back then 2019, nilikutana na pisi kali tukazoeana fresh. tukuchat sanaaa. And damn she was smart and confident. Basi one day akaniambia tutoke so akachagua place, mwamba nikajipanga fresh Kama na 300k hivii. Mtoto alikuwa kwao Mambo safi sana, tukaenda hotel moja jivii kwa ajili ya msosi na swimming. Basi it was such a romantic time.... Fresh.
Basi bwana nikajua Leo lazima nismarsh. Ilipofika mida ya saa mbili nikamwambia tujipange kurudi manaake kesho ni jumapili na kwao ni watu wa dini sana. Guess wha? She told me kwao kaaga and ameorder more food and room pale, MOYO ukadunda Kama wa tom the cat [emoji250], akaniambia Kama sio pale hotelini i will not smash her kuda! Bill ya the whole day imekuja 170k, mwamba nikalipa nikajua room nitalipia kwa card so nikaenda reception nikaulizia order yake na room nikatoa card mwamba 270k daah ila kwa Yule mtoto nikasema no way. Tukakaa mida ya kwenda room akaniambia nimeghaili anataka twende home kwangu pale she feels not home. Dadekii, nikajikaza kibishi ukicheki mtoto nampenda hatari.
Basi tukafika home, the night was hell Yeah [emoji91][emoji91][emoji91]. Asubuhi naamka akasema anaenda kwao nimsindikize, tukachukua bajaji hadi kwao ile anashuka tuu akaniambia ukifika home cheki chini ya mto whaaaat nikawaza nisije kuta ARVs Nway nikarudi home nikacheki chini ya mto nikakuta 600k and a note stating "YOU ARE THE MEN WITH GUTS" now she is my baby mama one year happily married [emoji7][emoji7][emoji1635][emoji2530][emoji1374][emoji23]
[emoji38][emoji38]Hii kama chai hv
Tar 28 ukapige kuraStory moja hivi nawapa, so back then 2019, nilikutana na pisi kali tukazoeana fresh. tukuchat sanaaa. And damn she was smart and confident. Basi one day akaniambia tutoke so akachagua place, mwamba nikajipanga fresh Kama na 300k hivii. Mtoto alikuwa kwao Mambo safi sana, tukaenda hotel moja jivii kwa ajili ya msosi na swimming. Basi it was such a romantic time.... Fresh.
Basi bwana nikajua Leo lazima nismarsh. Ilipofika mida ya saa mbili nikamwambia tujipange kurudi manaake kesho ni jumapili na kwao ni watu wa dini sana. Guess wha? She told me kwao kaaga and ameorder more food and room pale, MOYO ukadunda Kama wa tom the cat [emoji250], akaniambia Kama sio pale hotelini i will not smash her kuda! Bill ya the whole day imekuja 170k, mwamba nikalipa nikajua room nitalipia kwa card so nikaenda reception nikaulizia order yake na room nikatoa card mwamba 270k daah ila kwa Yule mtoto nikasema no way. Tukakaa mida ya kwenda room akaniambia nimeghaili anataka twende home kwangu pale she feels not home. Dadekii, nikajikaza kibishi ukicheki mtoto nampenda hatari.
Basi tukafika home, the night was hell Yeah [emoji91][emoji91][emoji91]. Asubuhi naamka akasema anaenda kwao nimsindikize, tukachukua bajaji hadi kwao ile anashuka tuu akaniambia ukifika home cheki chini ya mto whaaaat nikawaza nisije kuta ARVs Nway nikarudi home nikacheki chini ya mto nikakuta 600k and a note stating "YOU ARE THE MEN WITH GUTS" now she is my baby mama one year happily married [emoji7][emoji7][emoji1635][emoji2530][emoji1374][emoji23]
Haahaaaaa Mkuu anatunywesha chaiHii kama chai hv