Una ugonjwa kwenye uelewa ndo maana yanakutokea!

BioPsychologist

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
724
1,014
Saikolojia na maisha ,Badili mtazamo!

Habari ndg wana JF!

Naomba leo tuangalie kwa nini watu wengi tunafanya makosa na hali ya kuwa pengine tuafahamu fika kwamba haya ni makosa na wengine hawajua lakini tunajitia kupotezea na kuingia kichwa kichwa hatimae matokeo yake ni kujuta. HUO NI UGONJWA KWENYE UELEWA!

Mfano:1: Unakuta msichana anatembea na boy ambae sio Mme wake ana juwa kabisa yule ni mwanaume na ana mbegu za kiume na tena wengine ni mabinti wasomi kabisa lakini ana kubali kufanya sex bila hata kujilinda kwa kuamini pengine ni upendo,,mwisho wa siku jamaa ana mkataa! HUO NI UGONJWA KWENYE UELEWA!

Mfano:2: Kijana mzima wakati mwingine ni msomi kabisa unakuta anapata kazi na kula bata na mademu town na kujirusha viwanja lakini kwao na wazazi wake amewapa bonge la ahadi kwamba atawafanyia kitu kikubwa, siku zinaenda na hafanyi hivo,kujiona maisha ya starehe kayaanza yeye, jiulize ana mkomoa nani? HUO NI UGONJWA KWENYE UELEWA!

Hiyo hapo juu ni mifano tuu!! Sijamaanisha kuwa makosa ni hayo tuu, kuna makosa MENGI sana ambayo tunajikuta tunayafanya sana na yanatugharimu pengine maisha yetu yote hapa duniani,,HUO NI UGONJWA KWENYE UELEWA!

Ukiwa na ugonjwa kwenye uelewa wa jambo furani tegemea majanga, hasara, chuki, magojwa ya kujitakia, umasikini, wizi, ubinafsi, ukahaba, michepuko, dharau kwa mmeo/mkeo, kutojali familia, utumiaji wa madawa ya kulevya, pombe za kupindukia, mahusiano mabaya na wafanyakazi wenzako, majivuno, umbea, msongo wa mawazo, na mengine mengi sana ya ajabu huo ni ugonjwa kwenye uelewa

Tiba ya ugonjwa wa uelewa !!

Ukitaka kupona tatizo lako la ugonjwa wa uelewa waone Wataalamu wa ushauri kutokana na jambo linalokugusa!! Wengi ni wahanga na waathirika wa ugonjwa huu lakini hawajui !!!! "Toa mawazo hasi weka mawazo chanya" tumia akili kwa faida!!!

Je wewe unajionaje? Una ugonjwa wa uelewa kuhusu nini?

Ahsanteni sana!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe mzuri ila mkuu unaweza kumtibu mtu mwenye ugonjwa wenye uelewa?
 
Back
Top Bottom