Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
MAAJABU YA GOOGLE SMART LOCK !!
Kuna wale watu wanawekaga password kwenye simu zao alafu wanasahau kabisa wanajikuta wanataka kufuta Kila kitu kwenye simu zao bila kupenda ??
Relax kuanzia Leo kama umesahau password kwenye simu Yako una haja ya kuformati simu !! Kuna kitu kinaitwa Google smart lock
Google smart lock inakusaidia wewe kufungua simu yako kwa urahisi Sana ikiwa una tabia ya kusahau password zako za kufungua simu.
Ikiwa huko nyumbani utaki Kila mara ukitaka kupokea simu au kutumia simu kuweka password ndo utumie au umetumiwa ujumbe huwezi kusoma mpaka utoe lock wakati huko nyumbani.
Google smart lock wamekuwekea njia ya kuweza kuondoa lock simu Yako ikiwa uko eneo Fulani basi password ijiondoe automatically pia ukiwa mahali Fulani basi simu Yako huwezi kutumia mpaka huweze kutoa lock ya password au pattern Yako.
Mifumo hii imegawanyika katika sehemu kuu tatu
๐ข๐ป ๐ฏ๐ผ๐ฑ๐ ๐ฑ๐ฒ๐๐ฒ๐ฐ๐๐ถ๐ผ๐ป
Mfumo huu unafanya kazi ikiwa unataka kutoa simu kwenye begi lako basi kupitia mwili wako kwa kuchezesha mkono, kunyoosha juu google smart lock haitakuuliza password yenyewe automatically tu inajitoa.
Ila mfumo huu jamani jihadhari Sana maana mtu yeyote anaweza kufungua
๐ง๐ฟ๐๐๐๐ฒ๐ฑ ๐ฑ๐ฒ๐๐ถ๐ฐ๐ฒ
Kupitia njia hii utaweza kuchagua kifaa ambacho unakiamini Kama simu , tablet , laptop nk. Ivyo ikiwa simu Yako umewasha tu Bluetooth na imeunganisha na kifaa kingine , automatically password inatoka.
๐ง๐ฟ๐๐๐๐ฒ๐ฑ ๐ฝ๐น๐ฎ๐ฐ๐ฒ / ๐น๐ผ๐ฐ๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป
Kupitia njia hii utakua una set location ambayo unaiamini, unaweza kuchagua maeneo ya nyumbani au kazini kwako. Ivyo ukiwa hayo maeneo una haja ya kuingiza password unatumia tu Kawaida simu Yako.
Jinsi ya kuseti google smart lock ni rahisi Fanya Hivi
1. Ingia setting kwenye simu 2. Security 3. Chagua smart lock kama ujaiona endelea advanced settings >> smart lock>> utachagua Sasa unataka Nini kati ya izo setting
Je umeshawahi kutumia google smart lock au ndo tunakujuza Leo tuachie maoni Yako ?