Tumia simu ku control Nyumba Yako

Tumia simu ku control Nyumba Yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,285
Reaction score
2,594
View attachment 2767257

Hivi unajua Kuna bulb ambazo ni za kisasa unaweza ku control kupitia simu Yako kwa kufanya shughuli mbalimbali kwa urahisi Kwenye simu.

Moja Kati ya jambo zuri ni kuifanya nyumba Yako kuwa ya kisasa kwa kuweza kuweka smart light bulb [emoji362] achana na bulb za bukubuku utaweza kubadili muonekano wa nyumba Yako.

Kwanini utumie smart light bulb [emoji362]

  • uwezo wa ku control Nyumba kupitia simu Kwenye wifi,Bluetooth au external hub
  • uwezo wa kubadili rangi mbalimbali kutokana na shughuli Fulani Kama ukiwa na mkeo au mumeo , rafiki, kusoma rangi mbalimbali nyeupe, blue, nyeusi, pink, green nk.

images%20-%202023-09-30T120732.743.jpg


- app maalum kwa Ajili ya kutumia Kwenye simu pia unaweza kutumia Amazon Alexa, google home , apple homekit ku control bulb Yako.

- unaweza kutumia ikiwa hata eneo uliopo network ni changamoto Bado utakua na uwezo wa kutumia.

- lifetime yake ni masaa zaidi ya 200,000 mpaka kufa kwake.

- gharama yake ni nafuu inaanzia dollar $8 mpaka $100 inategemea

Tafuta smart light bulb zifuatazo [emoji116]
• Philips wiz Smart Wifi LED color bulb
• Philips hue white and color ambiance A19 starter Kit
• Runner up: LIFX Color A19
• lifix white A19 wi-fi smart led light bulb
• sengled color changing wifi smart light bulb
• Wyze bulb
• lifx Mini

Ziko poa sana kwa matumizi ya Nyumbani Umeshawahi kutumia smart light bulb au ndo unasikia tuachie maoni Yako?
 
Ndio nasikia leo, asante kwa kutujuza.
 
Back
Top Bottom