Kutokubishana ovyo,,,, hata kama ni mambo ya mipira napenda twende kwa data na hoja sio makelele kama mpo sokoni
Napenda kukaa na watu wazima walionizidi umri na kipato,,,, ! Kuna namna najifunza kutoka kwao !!!!!
Nikilala sipendi kuamshwa !
Nkimpigia mtu simu mara moja asipopokea sipigi tena, kama ni muhimu sana nitamtumia ujumbe mfupi !
Sifanyi kitu bila utaratibu/mipango,,,, ! Mfano hata kama sina kazi from no where huwezi niambia twende sehemu flani nikaenda , !!!