mimi nilienda kupata tiba lkn nilichukuliwa vyote hivyo mpk mchanga wa kivuli changu.. maana yake nn..Japokuwa uchawi unaweza kufanyika kwa vitu vya aina mbali mbali lakini mlengwa mkubwa ni binadamu hivyo kucha na nywele huchukuliwa kwa ajili ya kufanya madhara kwa binadamu husika au hata mwengine, vitu hivyo ambavyo huitwa Vyachira vipo vya aina nyingine pia kama vile mate, unyayo, nguo iliyovaliwa nk.
Naomba kufahamu tofauti ya mchawi na mganga