Mtu mzito
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 1,779
- 3,180
- Thread starter
- #4,221
MgangaMtu Mzito unajua me cjakuelewa bado em nipe tofauti kati ya uchawi na uganga wa jadi??
Anatibu
Shughuli zake zipo wazi na zenye kuonekana
Ana vibali na kutambulika kisheria
Anapewa ujira kwa kazi yake
Dawa zake anapotafuta hajifichi wala kujikinga asionekane
Anapenda kujulikana ili atibu watu
Mchawi
Anaharibu mambo na kuwangia watu
Shughuli zake ni za kificho
Hapendi kujulikana iwapo anatenda jambo hilo
Hatambuliki kisheria
Hapewi ujira sababu kazi zake hazipo wazi
Anaweza kuwa na uwezo wa kupaa au hata kuingia mahali bila kuonekana
Ila pia wapo waganga wachawi, kujua zaidi nilishaeleza humu humu.