Swali kwenu wabobezi na watafiti wa hili jukwaa....
Huwa una shave shamba la kufugia nywelw/kubebea meno (I mean kichwa cha juu) kila baada ya muda gani?
Ni wiki, wiki 2 ,mwezi au mwaka?
Binafs kwangu kunyoa naonaga karaha sana.......
Ukiona nimeenda saluni ujue masikio tayar yashafunikwa na nywele hayaonekani......
NaweA kuvuta hata 2 months....
Tuambie wewe unazifugaga mda gani
Ramadhan Kareem
Uzi tayar