Una nini cha kuishauri ewura?

Sina cha kuishauri zaidi ya kuomba ivunjwe na ifutiliwe mbali kabisa.
 
EWURA imekuwa kama TAKOKURU hawana meno. Ufisadi mtupu!
 
Iongeze pampu ziwepo mwanzo, katikati na mwisho wa foleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…