Una(me)jifunza nini kwenye haya maisha?

Una(me)jifunza nini kwenye haya maisha?

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,362
Reaction score
7,985
Whats up guys, How is there?

Acha tuendelee wakuu, kila mmoja ana safari ya maisha yake, Wengine wamepita simple/easy way kuwa hapo walipo kutokana na bahati zao ila kuna sisi ambao maybe it's hard without sacrificing ourselves, Me nataka uniambie wewe ukiambiwa uelezee ni nini umejifunza kwenye haya maisha au bado unaendelea kujifuza utajibu nini?

Okay mfano mimi ukinianbia ni kitu gani nilichojifunza au ninachojifunza nitakuambia kwamba Maisha ni filamu na mimi ni sterling kutokana na visa vya jana na leo ninavyopita kwenye zile nyakati mbovu ni kama script haitaki nife/nidrop bali inataka niendelee kuwa top au middle fulani hivi ila sio kupotea mazima.

Sina juhudi sana kuhakikisha hilo ila naona maisha yakinisaidia ku-handle situations so, nimejifunza pia kila kitu kinatokea kwa wakati sahihi and we don't have to worry about, Cha muhimu kumuomba Mungu na kuridhika na ukipatacho.

Usiamini kwenye njia moja, Mf: Umesomea Udaktari na umeshavuta picha ukiwa ndani ya lile coat jeupe don't give it 100% maana nakuapia unaweza usilivae na ukajikuta umevaa lile jeupe la traffic au jeusi la majambazi wa bongo movie au hata ukaishia kuvaa overall la mechanical so, amini kwamba Kila mtu ana script imeandaliwa ya jinsi atakavyoyaishi haya maisha.

Though kuna ambao wana bahati kwenye kila wanavyotegemea kuwa basi huwa ila waweza kujipima na kulijua hilo kwa vitu baadhi ulivyowahi kuviplan huko nyuma kabla je, unaviishi? kama sio basi haupo miongoni mwao.

Wewe je ni kitu gani unajifunza au umejifunza kwenye haya maisha?
 
hapana ila nimejifunza faida zake, sihongi, sipati Gono, sipati HPV, sipati Herpes, sipati Genital Warts, sipati Ngoma, sipati Kaswende, sipati UTI, sipati Oral Thrush
safi, kwahiyo hasara ni moja tu ndo hiyo wanasema inaua nguvu, okay basi sheria ya mkononi haina tatizo
 
Maisha yamenifundisha kwamba:
1. Dunia inahitaji watu wenye roho mbaya kwa nyakati kadhaa.
2. Kamwe usimuamini mtu yeyote.. Jiamini ww mwenyewe maana kamwe huwezi kujisaliti.
3. Dunia haikupi unachotaka bali kilichopo. Mfano umesomea kilimo unajikuta mwalimu au umesomea kufundisha Secondary unajikuta unafundisha chekechea
4. Jipende ww mwenyewe hakuna atakaekupenda. Ukipata pesa kula vizuri, kunywa, fanyia starehe, wekeza, tunza n.k. Na sio kusaidia ndugu na jamaa.
5. Afya ndo mtaji wa kila kitu. Kamwe usikubali kuiweka rehani afya yako.
6. Mungu akiamua kukupa nani wa kukunyang'anya? Hayupo. Sali sana na muombe Mungu kila upatapo nafasi ya kufanya hivo.
 
Back
Top Bottom