Waliyataka wenyewe CCM, walipowaacha watu wasiwe na kazi walitegemea wakae hivihivi tu, wasishangae sasa kuona nguvu kazi zikitafuta shughuli ziso tija kwa taifa za kupitisha masiku.

Kujiunga suwala jengine na matendo ni suwala jengine, mimi nazungumzia kuwa alie na ajira si rahisi kuacha ajira yake na kufanya mambo yasiyomletea tija!