Mimi binafsi kusema ukweli siasa imenikalia kushoto sana, samahani sana mkuu1;Dr Slaa
2;Lowassa
Mmekalia tu kugegedana papuchi hamjui hata masuala ya nchi yanaendaje ebu tupeni mrejesho wenu nyie wana MMU hasa wale wa Lady Ambao hamkanyagi kule siasani ni nani anafaa kuongoza kati ya hao, au mnasubiri mpaka mswada wa nguo fupi upitishwe na wanasiasa ndo muanze kuandamana.
nina mapenzi na wewe
Kweli eeh!
Hapo tu ushalainika na umekuwa mpole na kusahau siasa zako zilizokusababisha ulete uzi..Kweli eeh!
ndiyo gombea nakupa kura
1;Dr Slaa
2;Lowassa
Mmekalia tu kugegedana papuchi hamjui hata masuala ya nchi yanaendaje ebu tupeni mrejesho wenu nyie wana MMU hasa wale wa Lady Ambao hamkanyagi kule siasani ni nani anafaa kuongoza kati ya hao, au mnasubiri mpaka mswada wa nguo fupi upitishwe na wanasiasa ndo muanze kuandamana.
Naona unawalazimisha wana MMU siasa..wacha.zako!
Mi nilidhani yale ya kwetu ya papuchi na kugegedana.