Una maoni gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Una maoni gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakuruvi, Apr 6, 2011.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Je ni kitu gani ungependa kiwepo ktk Katiba mpya? Sikiliza maoni yafuatayo:

  WAFANYAKAZI: PAYE isiwepo kwenye mishahara.
  DEREVA: traffic wasiwepo barabarani.
  MWANAFUNZI: hesabu zifutwe mashuleni.
  MFANYA BIASHARA: TRA itaifishwe.
  WANACHUO: bodi ya mikopo imilikiwe na Dowans.
  WAKAZI WA MBAGALA NA G\MBOTO: ghala la mabomu lijengwe IKULU!
  VIBAKA: polisi wapewe likizo.


  Je wewe una lipi, Toa maoni.....
   
Loading...