Kuna jamaa yangu aliulizwa hili swali mnyantuzu mang'ombe mnomo. Akamwambia dem mm nipo tayari kukuoa. Jamaa akaambiwa ili nikupe mzigo basi njoo ujitambulishe. Wakapanga siku jamaa akaja kuazima pikipiki hime kwetu nakumbuka honda xtrail miaka ilee zilikuwa za bwanashamba ss home tulikuwa nayo mm ndo nimemaliza f4 ndo nlikuwa dereva yeye hakujua kuendesha. Tukaenda tukachinjiwa jogoo, wali wa kumwaga tukala. Sasa jamaa ndo dem akampa mzigo kala mzigo kama miezi 2 akamtwma dem na jogoo tushakula