Una malengo gani mwaka huu

Mie na malengo ya kua second lady 2015 pale magogonii
 
Niwe na kazi mpya,yenye mshahara usiopungua mil......,dsm na kwa nafasi isiyo chini ya niliyonayo sasa.Amen
 
Hahahaaa Dinazarde unatamtaka mkuu wa kaya? Nasikia anapenda watoto wazuri kama ww

Ni malengo tu inawezekana ikatokea miujiza nilienae akaingia pale tena nikawa first lady kabisa teh teh teh teh!!!!!!!!!😕😕😕
 
Niwe na gari yangu, maana nimechoka kunyanyaswa na baba mwenye gari.
 
Kumaliza stage flani ya kielimu na Nimuingize Kingi meneja mmoja hivi,from the first day i saw him moyo ulistuka

Aisee, hapo kwenye bold, ukifanikiwa utaniambia
 
Malengo ni mengi ila utekelezaji wake sasa ndio shughuli but Mungu atasaidia
Mojawapo, ni kurudi shule, kumalizia nyumba yangu, kubadilisha gari nililonalo na kukunua gari nyingine
 
.kubadili maisha ya wanajamii wanizungukao wasiopungua 2000, wastawi, wafanikiwe na kuyafurahia maisha ka mie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…