Huwezi jua/ labda kampa mke wa watu mimba,.
Waweza kuta anatafutwa kama mimi nilivyokuwa natafutwa kipindi kile (Unakumbuka?)
Sasa hapo mwanaume lazima uingie chemba kidogo kusubiri upepo upite
BTW, baada ya kugida na huyo malaya mzinzi
Baba V mliagana salama au alikurudisha mpaka chumbani kwako?