umetisha...Inategemea unafabya mishe gani mfano mimi ni youtubers lazima niwe nayo wengi maana ndiko nakoshare kazi zangu ili jutafuta subscribers na views wengi kwaiyo mkiona link za youtube msiwe mnazipita kama hamzioni fungueni mka subscribe na kuview mi ctaongea nina magroup mangap ila ona mwenyewe hapa chini nina chat ngap harafu maadimn wa magroup wengi hawatupendi sisi watu wa youtuber kisa tunashare link kweny magroup mara kwa mara sasa mi niko kazini unataka niwe kama nyie mnaochart kutwa nzima na vidada mkivitongoza, acheni kututoa /kuturemove kweny magroup yenu tunashare link za chanel zetu za youtube View attachment 1379774
Hamna link mkuu maana ni marufuku ku share link ili kuepuka mamluki. Pia ukitaka kuingia lazima upigwe interview ili kubaini kama kweli ni mwana Liverpool.
pm numberNipo tayari kwa interview
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sina hata moja
Kila wakiniadd najitoa muda huo huo,sipendi groups,siipendi WhatsApp
Sasa kama hupendi WhatsApp si ufute App? [emoji16]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Inategemea na level zako pamoja na umri..
Ukiwa ni muajiriwa utakua kwenye group la kazini.
Group la kanisani.
Group la form 4
Group la form 6
Group la chuo.
Group la michongo ya kazi.
Group la kabila lako.
Group la chama cha mapinduzi.
Group la ujasiriamali.
Group la wana (weekend outings)
Hesabu mangapi hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app