Leo nimeangalia simu ya rafiki yngu nimeshangaa ana groups 8 za whatsapp na zte yko active. Ndio maana muda wte yupo na simu tu hta ukiongea nae yeye ana chat tu mpk saa nyingine anakera ukikaa nae.
Mimi Binafsi nina group 2 tu. Group Ya kwanza ya class hii huwa wana share notes zinazotolewa na walimu, past papers na kudiscuss kuhusu masomo. Huwa hawapost mambo mengine nje ya masomo. Ya 2 ni ya hostel ambayo naishi. Hili nimeli mute maana wanapost sana mengine hayana hta umuhimu. Kwa wiki hakukosekani ugomvi ktk hili group 😀 watu wanagombana hta vitu havina umuhimu 😂 Huwa naingia kwa hili group kuangalia menu ya siku tu.
Katika hizo groups zote sichangii mimi huwa ndugu msomaji tu. Je wewe una group ngapi? Zinakusaidia kwa namna yoyote?