Una loliondo hapo?

Una loliondo hapo?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,260
Hii nimeinyaka toka katika viunga vya fikra zangu. Eti fikra zimenituma kuwaambia kuwa loliondo siku hizi ni 500/- duh!!
 
kwahiyo uwanja sasa hivi hauna mbigili watu wacheze peku?
 
Hahahaa! Wewe ni nouma!
Naomba loliondo mbili.
Naomba umpe jamaa loliondo moja.
 
Hii nimeinyaka toka katika viunga vya fikra zangu. Eti fikra zimenituma kuwaambia kuwa loliondo siku hizi ni 500/- duh!!

Kweli loliondo moja 500/=, tatizo kunyosha mkono kuipokea Ths 200,000/= na wiki mbili na nusu. Naogopa kunyosha mkono!!!!!!!!!!
 
Viongozi wetu very greedy wamekunywa dawa ya BABU halafu wanajidai eti wanasimamisha huduma, serikali over my foot!!!!
 
soon, itapatikana dar es salaam. si unajua wabongo kwa kuchakachua?
 
Back
Top Bottom