mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,940
- 46,083
Kitambo saana ,hata hivo sikuwahi kushobokea michango ya design hiyo kiviiile maake unashangaa mtu hata mahitaji muhimu ya familia anayaacha kisa asikose kuchangia harusiKwa kuwa ushapita sio?
Kitambo saana ,hata hivo sikuwahi kushobokea michango ya design hiyo kiviiile maake unashangaa mtu hata mahitaji muhimu ya familia anayaacha kisa asikose kuchangia harusiKwa kuwa ushapita sio?
Ukichangia, lazima uchangiweAisee leo nimeletewa kadi ya tisa ya mchango wa harusi, single 80,000
Nyingine ni;
1. 40,000 Sept
2. 90,000 Sept
3. 40,000 Oct
4. 50,000 Sept
6. 70,000 Aug
7. 150,000 Oct
8. 35,000 Nov
Total 555,000/=
Mshahara wangu sasa ni kichekesho!!!
Kuna wawili wananipigia nimewakaushia. Mwingine mchango wa besidei nimetoka nduki. Yaani hapa ukijumlisha na madeni ntakimbia mji asee!
Hizi harusi hizi.
Kweli kuna watu wanachangia sherehe mpaka wanatia hurumaKitambo saana ,hata hivo sikuwahi kushobokea michango ya design hiyo kiviiile maake unashangaa mtu hata mahitaji muhimu ya familia anayaacha kisa asikose kuchangia harusi
Imefikia hatua hadi Wanawake wanaomba michango ya harusi. Mtu anaolewa anaomba mchango- anaemuoa nae anaomba michangoKweli kuna watu wanachangia sherehe mpaka wanatia huruma
Kinachosikitisha ni kwamba katika mambo ya msingi kama elimu na matibabu hatuchangiani ila sherehe tu!Imefikia hatua hadi Wanawake wanaomba michango ya harusi. Mtu anaolewa anaomba mchango- anaemuoa nae anaomba michango
Kuchangia wenzio sio sababu ya wewe kuchangiwa.Tatizo unajidai hupendi kuchangia wenzio ila ikifika zamu yako nawe unaanza kuomba. Kama una uhakika hutamchangisha mtu piga kimya
Mimi nachangia ili nije kuchangiwaKuchangia wenzio sio sababu ya wewe kuchangiwa.
Unaweza kuchanga na usichangiwe ukaishia kulaumu watu tu
Mi washajua kanuni yangu, dada, kaka, rafiki ndugu na jamaa!
Harusi, send off, kitchen party, birthday na sherehe za anasa sina bajeti yake kwa sasa.
Hizo ni sherehe binafsi, ni jukumu la mhusika kugharamia, kama huwezi funga ndoa kwisha.
Huwezi kwenda kulewesha watu na kujaza matumbo yao kwa pesa za watu usizo jua wamezipataje.
Hivyo hata mimi sitamchangisha yoyote.
Sio wote asee, nipo mkoa wa ugenini so issues zangu zilizotaka michango hawakushiriki. In my list walonichangia kupitia my power hawazidi 2Kuna sababu gani ya kulalamika ikiwa una uwezo wa kukataa...
Ni wazi wanao kuomba mchango ulishawaomba mchango ...
changia kama walikuchangiaAisee leo nimeletewa kadi ya tisa ya mchango wa harusi, single 80,000
Nyingine ni;
1. 40,000 Sept
2. 90,000 Sept
3. 40,000 Oct
4. 50,000 Sept
6. 70,000 Aug
7. 150,000 Oct
8. 35,000 Nov
Total 555,000/=
Mshahara wangu sasa ni kichekesho!!!
Kuna wawili wananipigia nimewakaushia. Mwingine mchango wa besidei nimetoka nduki. Yaani hapa ukijumlisha na madeni ntakimbia mji asee!
Hizi harusi hizi.