Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,161
- 2,668
Una hela wewe?Wangapi wameulizwa hivyo? Ni swali baya sana linadhalilisha sana utu, anayeuliza hivyo kwa namna moja ama nyingine ana kasoro kibao uwe na hela usiwe na hela.
Malipo ni hapa hapa duniani, jenga heshima kwa kila mtu usimdharau mtu eti hana hela, jamani!!!?
Una hela wewe?Una hela wewe?
[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] unajua umenichekesha sana hujui tu[emoji85]Una hela wewe?
Haaaaahh haaaaahh.! Kama ni mwanamke na ulikuwa unatia vocal basi ili usiondoke na kitu inayokaba roho unamjibu "sina hela ila nimepima Ngoma"Wangapi wameulizwa hivyo? Ni swali baya sana linadhalilisha sana utu, anayeuliza hivyo kwa namna moja ama nyingine ana kasoro kibao uwe na hela usiwe na hela.
Malipo ni hapa hapa duniani, jenga heshima kwa kila mtu usimdharau mtu eti hana hela, jamani!!!?
Jibu unazo halafu uombwe laki 3 ya saloon mkuu,,,,, hapo ndio utajua kama kila mtu ana hela au laKila mtu ana hela acha woga mkuu we atajayekuuliza mjib ndio nnazo kwa msisitizo....... 🙂 🙂 🙂 🙂
Meaning what mkuuSijawahi, hata hivo women are the short lived creatures hata akiniambia hivo hatafika mbali.
Mzee vipi haujawahi kuulizwaUkiulizwa unahela unajibu utaniweza?