Una gari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Una gari?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by najua, Dec 6, 2011.

 1. n

  najua JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Basi ISECURE INVESTMENT imekulete car tracking system itakayo kuwezesha kukupa taarifa ya gari yako na kupata nafasi ya kuwa karibu na gari kupitia simu yako ya mkononi, kifaa kitakuwezesha kufanya vitu vifuatavyo .

  1. Kuzima gari kupitia simu
  2. Kuzuia kuwasha gari
  3. Kujua mahali gari lilipo na speed yake.
  4. Kukupa taarifa ikiwa milango imefunguliwa isivyo halali
  5. Kujua matumizi ya mafuta,
  6. Kujua ikiwa gari linawashwa au linazimwa
  7. Kujua kama gari kama gari linaendeshwa kwa mwendo hatarishi.

  Gharama ni nafuu sana , kwa mawasiliano piga simu namba 0714890018 au email isecure24@ymail.com au jmgullu@gmail.com.
  Unaweza kuuliza na kujibiwa maswali yako kwenye hii thread
   
 2. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,694
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Gharama nafuu ndio bei gani mkuu, umejitahidi umetoa information zote, kwenye bei unaandika gharama nafuu. Hapo watanzania ndio mnaniacha hoi kwa nini hampendi kuweka bei za vitu vyenu au ndio bei maelewano duh.
   
 3. araway

  araway JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  huduma nimeipenda na nipo tayari kuanza kuitumia lakini gharama na natamani kuitumia lakini naomba kujua gharama kabla sijainua simu yangukukupigia
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,275
  Trophy Points: 280
  Unafuu wa Gharama ni "relative term",
  Yaani Unategemea na vitu vingi,
  Kwanini usimalize tu udhia kwa kutaja hiyo gharama!!
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,409
  Trophy Points: 280
  mara unakuta gharama ni mil 1
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  pia lazima kutakuwa na malipo ya kila mwezi apart from device and installations
   
 7. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Umepotelea wapi tena kiongozi? Njoo ututajie gharama bana, tukate shauri.

  Hivi kwa TZ itawezekana kweli ku track gari ilipo bila kuwa na refenced ramani za mitaa? Nina hamu sana kuona hili........

  Taja bei nikurukie hewani sasa hivi uniunganishie
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  kASEPA!
  Kwanini ukiombwa bei unakimbia mkubwa, wakati umesema unataka upewe maswali na ujibu??
   
 9. n

  najua JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Gharama yake ni us$280, hakuna malipo ya mwezi wala ya mwaka ukishaweka ni yako tayari
   
 10. n

  najua JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  gharama ni US$280, nipo na nitawapa maelezo kadiri mtakavyohitaji
   
 11. n

  najua JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hakuna malipo yoyote kwa ajili ya huduma hiyo mara baada ya kuweka katika gari yako
   
 12. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Kwenye toyo inafaa?
   
 13. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ntapata sms kwenye simu yangu kuwa gari imewashwa au imezimwa kutoka kwenye mtandao upi? Tuthibitishie kama hamna monthly charges
   
 14. n

  najua JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  gharama ni US$280, na haina malipo mengine yoyote zaidi ya hayo kwetu
   
 15. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mmh,

  inawza kuwa nzuri ila inahitaji kufkiri sana kabla ya kuingia, kwamaan kama unasema no malipo ya maramoja. unahitaji ushawishi wa nani anawajibika ikiwa system haitafanya kazi baada ya kununua huduma?

  inahitaji makubaliano yenye kuangalia mambo mengi kabla ya kununua aina hii ya huduma
   
 16. n

  najua JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu nitafute kwenye namba ya simu 0714890018, kifaa kinatumia simcard ya kampuni yoyote ya mawasiliano, gharama yake zaidi ya hapo ni hela utakayoweka kwenye hiyo line tena utaweka wewe mwenyewe, na hizo kazi zote zitafanyika kutokana na utakavyopenda na kulingana na matumizi yako unayohitaji
   
 17. n

  najua JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  unaweza ukapata ,muhimu ni kuwasiliana tu, ntafute kwa njia ya simu
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Vp kwenye boda boda unaweza kufunga?
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hii safi ngoja nikucheck.
   
 20. C

  CONECTED GUY Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Please naomba utueleze hiyo tracker itakuwa based kwenye principle gani
  kama ni satelite based (GPS)lazima kuwe na monthly payment na hizo speed sensors zitakuwa zinatuma sms from which account? Plz be serious
   
Loading...