The iron batterfly nasubiria mchango wako huku maana ile thread ya yule mwanamke aliyehitaji ushauri aweze kuishi na mwanaume bahili uliitendea haki. Nasubiri na hii
Atajijua.
Kuna watu wanajisahau sana.
Ukishapigwa umepigwa tu bora utulie. Yalokuwa yamekuwa hubadilishi kitu.
Ulishindwa zamani hizo utaweza saa hizi watoto wameshakua?
Kama unayawezabona hudatishi kijana akuoe ?
MI NDO HAPO MNAPONICHOSHAGA!
yani umahiri wehu wa mahaba na kutokujisahau huwa kunafanya tu kazi kwa waliooa!
Wasiooa aaaanh!
NA MWANAUME ALOZAA NA WEWE ANA HASRA SANA!
sema nini, kitumbua ndo mambo yote !
ACHA ajilie kuku wa kienyeji baba wa watu!
Umemfanyia ukaguzi mumeo lakini -- usije kukuta amekuaga kuwa amesafiri kumbe yupo kwa mtoa mada ... na hili dongo waweza kukuta linakuhusu wewe ila tu haujui
Hii ni zaidi ya uchochezi. Nimewaza nikaona kumbe bora ukabaki na mwanaume kama hawara tu maana ukifunga ndoa anakufanyia yaleyale ya kwenye ndoa ya kuzarauliana. Hivi kweli unawezaje kusevu namba ya mke wako kwenye simu yako kwa jina la Dulla Mbabe? Yeye akikusevu kama Faru John utajisikiaje?
We awakiazaga kelele hivi wanakuwa wanataka kukupandisha hasira tu mfananae miserable life!
MTU WA NGEBE HIVI dawa yae ndogo!
KUENDELEA NA HAMSINI ZAKO!
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo. Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii...