Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Umejiuliza hadi sasa umeweka chanjo ngapi za magonjwa katika mwili wako?
Kwangu nadhani mara ya mwisho kupokea chanjo ilikuwa ni utotoni tangu hapo sitaki kuufanya mwili wangu uwe majaribio ya wanasayansi kwa chanjo za kila leo.
Majuzi hapa kulikuwa na chanjo ya homa ya ini sina mpango nayo hii chanjo, leo kuna Corona watu wanahaha kupata chanjo ikipatikana hiyo kesho tuambiwe tuchomwe chanjo ya Corona, baada ya muda wapate chanjo ya kisonono waseme tunatakiwa tupate na hiyo.
Kwa kweli hizi chanjo zitakuja kutuua, ni bora uache mwili wako uwe na uwezo wake wa kupambana na magonjwa ufe ukiwa huna "life protector". Miili imekuwa kama smartphone na screen protector.
Leo ikija hii unabandua na kuweka hii, ikija liquid unatoa glass protector unaweka liquid, oooh siwezi, acha niishi kiume.
Hivi umefikiria watu waliopata chanjo ya homa ya ini walivyo wapole wakisikia Corona haina chanjo.
Chanjweni mimi nilichanjwa na bibi.