UN yamweka Col. Gadafi kikaangoni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UN yamweka Col. Gadafi kikaangoni!

Discussion in 'International Forum' started by Gagurito, Feb 27, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa (UN) limepitisha azimio la kumwekea vikwazo col. Gadafi na washirika wake ikiwamo kuzuia hati za kusafiria, kutaifisha mali zao, kudhibit usambazaji wa silaha pamoja na kufungua hati ya mashitaka katika mahakama za ICC kwa gadafi na viongozi wake waandamizi kwa mauaji ya raia wapatao 1000.
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kwa kura 15-0 ya wajumbe wote wa Baraza!
   
 3. I

  Isekuu Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo safi, tena ni fundisho kwa viongozi wengine kama akina mugabe. Gadaf longtime walikua wanampia mahesabu sasa wameshapata pa kuanzia, watamfungulia mpaka kesi za kutungua ndege. Kwa watz wasimsahau gadaf wakati wa vita vya uganda!!
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  teh! Kumdaka ndio washamdaka, sa cjui watamnyonga pia kama sadam hussein!
   
 5. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  wangepitisha ile ya NO FLY ZONE ,hiyo ndio wangemmaliza kabisa lakn kwa hizo tu jamaa bado ataendelea tu kutesa na akizidiwa kabisa atkimbilia Zimbabwe na kupumzika kwa amani kabisa.
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  safi sana huyu jamaa sijui yukoje anaua watu wake......lina roho ya kutu kabisa hili jamaa
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  wanafiki wakubwa hawa UN
   
Loading...