UN wana akili? Intenet bila umeme?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
UN wameifanya internet kuwa ni haki ya msingi ya mwanadamu..na umeme je? Au tutatumia internet bila umeme wa uhakika?..
Kiukweli umeme ndio ungetakiwa ufanywe kuwa haki ya msingi ya binadamu badae ndio waweke hio internet.hapa UN wamekurupuka..labda wangesema internet ni haki ya msingi kwa waarabu (middle east) na sio dunia nzima...

Na huyu Migiro ana faida gani pale UN? "ndio mzee" kwa kila kitu bila kuweka/kuleta/kuwasilisha mambo yanayoisibu nchi yake/zake za kusini mwa sahara? Viwanda vikisimama hakua ajira.

Internet ni haki ya msingi kwa binadamu bila umeme wa uhakika wapi na wapi?


The Internet is an awfully important thing to have in the 21st century. It is so important that the United Nations has declared free and uninterrupted Internet access as a basic human right, "an indispensable tool for realizing a range of human rights, combating inequality, and accelerating development and human progres
 
Back
Top Bottom