UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

Hakuna amani itakayo ondoka bali itaongezeka kwa kua raia wamepata wanacho taka na siku zote amani huvunjwa na watawala na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kisingizio cha uchochezi, lkn ukweli uukidhiri uongo hijitenga wa Zanzibari waachiwe na muache kuendeleza kauli ya lukuvi eti wa Zanzibari waislam wataleta waarabu na magaidi hiyo ni kauli ya uchochezi nae akamatwe ashitakiwe
 
Kama rais John Pombe Magufuli angeenda nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa UN uliofanyika hivi karibuni basi angekutana na dhoruba la aina yake kutoka kwa serikali ya Marekani.

Serikali ya Marekani imemtuhumu rais John Pombe Magufuli kwa kukiuka misingi ya utawala bora katika uongozi wake nchini Tanzania huku ikiahidi kumdhibiti.

Marekani inaituhumu serikali ya rais Magufuli kwa kupora haki ya wananchi Zanzibar kwa makusudi pamoja na ukandamizaji mkubwa wa vyombo vya habari, utekelezaji wa sheria mbovu zinazominya uhuru pamoja na uonevu dhidi ya upinzani vinavyovaliwa njuga na rais Magufuli.

Kutokana na hali hiyo Marekani imesema kuwa imejipanga kuchukua hatua dhidi ya serikali ya rais Magufuli ikiwa haitajirekebisha.
Tupatie source mkuu
 
Tuwe makini na America!! hawa wanajifanya watawala Wa dunia lakini siwema hata kidogo!! sasa kama ndo hivo wale walimi 50 wakufundisha sayansi wanakuja kufanya nini kama siyo kupeleleza Uhuru wetu nakutaka kutufanya kama Libya , siria na Saddam!! tunazo taarifa kuwa wanapenyeza ushoga ndani ya taifa letu!! hata wakiondoa misaada yao hatufi!!! halafu wapinzani waache ujinga wakujivua nguo!!halafu hao wamerica where did they get evidence kuwa Zanzibar walipokw ushindi(Cuf) ?ushahidi from one side?? that must be Creasy!!!
Uchaguzi wa mwanzo aka wa Jecha walialikwa waangalizi wa kimataifa lakini ule wa pili aka wa magu hawakualikwa.Unategemea nani awaambie kuwa kuna jambo?Usitumie utumbo mpana kutafakari.
 
Kama rais John Pombe Magufuli angeenda nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa UN uliofanyika hivi karibuni basi angekutana na dhoruba la aina yake kutoka kwa serikali ya Marekani.

Serikali ya Marekani imemtuhumu rais John Pombe Magufuli kwa kukiuka misingi ya utawala bora katika uongozi wake nchini Tanzania huku ikiahidi kumdhibiti.

Marekani inaituhumu serikali ya rais Magufuli kwa kupora haki ya wananchi Zanzibar kwa makusudi pamoja na ukandamizaji mkubwa wa vyombo vya habari, utekelezaji wa sheria mbovu zinazominya uhuru pamoja na uonevu dhidi ya upinzani vinavyovaliwa njuga na rais Magufuli.

Kutokana na hali hiyo Marekani imesema kuwa imejipanga kuchukua hatua dhidi ya serikali ya rais Magufuli ikiwa haitajirekebisha.

MOSI, HABARI HII YA UONGO.

PILI, UKIONA MAREKANI ANAKUCHEKEA UJUE ANAKUIBIA. MAREKANI HANA RAFIKI. MAREKANI MACHO YAKE YAKO KWENYE MAFUTA, GESI NA MALIGHAFI.

TATU, MAREKANI AMALIZE KWANZA UNYANYASAJI WA WATU WEUSI.
 
Hahahaha vyama vya upinzani mbona vinatanua mzee. Huku msajili wa vyama vya siasa akijitahidi kusimamia vyama kikamilifu. Hivi tu punde amerudisha amani ndani ya chama cha cuf kwa kumrejesha Prof Lipumba. Ambaye baadhi ya viongozi ndani ya chama walitaka kupora haki yake kinyume na demokrasia. Kamanda vyama vyenyewe ndio shida ndaani kwa ndani. Chadema pia ndio kumeoza usiseme. Tumepokea watuhumiwa wa ufisadi mpaka leo chama hakina mwelekeo. Walewale tuliokuwa tukiwasema mafisadi eti leo tumewasafisha. Demokrasia gani ilitumika kuwapata na kutaka eti waende ikulu. Unyumbu huo. Acheni mambo ya kutunga hayatawasaidia
Kama haikina mwelekeo si ndo vzuri, kelele za nini sasa? Unapokitajataja kilasiku hapa uoni kama unakipa mwelekeo?
 
Waweke vikwazo tena sasa hivi wasitujaribu.Hatuogopi tuna rafiki yetu China ana mahela anamkopesha hata Marekani.
 
Wajinga nao hao Un wameshindwa mangap na leo wanataka kutugombanisha tena, ndo wao wamesababisha migogoro Libya mpaka leo na bado wanakir walifanya makosa kushambulia nchi hizo

Na leo kwa upuuz wa baadhi ya watz wenye maslah binafsi mnataka kuleta choko choko.

Rais wangu dr jpm nakuombea sana usimame kidete hata kama ni njaaa ituue lakn usikubali hata sekunde moja kugeuza shingo kabisa maana najua unawajua malengo yao tusiwape hata nafasi moja ya kutuchezea.

Ndo moja ya sababu tumeikataa EPA yao ndo wanaanza figu fisu plz president get ride of these bastard na wanyonyaji kabisa.

MUNGU AKUBARIKI RAIS JPM, AIBARIKI TANZANIA NA AFRICA.
 
Hii Nchi sijui tunakwenda wapi kwakeli jinsi tunavyoburuzwa, wengine tunashindwa hata kutoa hoja na maoni kwa kuogopa kuitwa wachochezi yaani ukionena unakosoa serikali hii hilo balaa lake mpaka utaitwa gaidi.Tutashukuru kama kweli mataifa makubwa yataingilia kati swala hili.
Mataifa makubwa ndo mdudu gani?
 
kujitangazia mshindi kwa mwamerika ndo utawala bora??kujitangaza mgombea urais 5years before ndo utawala bora kwa mwamwrika?? kutetea mashoga ndo utawala bora kwa mwamerika?? kuandaa mandamano bila utaratibu ndo utawala bora kwa mwamerika?kutetea mafisadi ndo utawala bora kwa mwamerika? matusi kuwatukana viongozi wakuu Wa nchi ndo utawala bora kwa mwamerika??


Mungu yupo atatujibia!!!
 
Mmarekani atuachie mambo yetu wenyewe tuyamalimalize asituvuruge kama Syria, Libya na kwingineko.

Kama Mtz nafikiri shida iko kwenye tume ya uchaguzi pia kwa msajiri hawa wakisimama na uzalendo nchi itasonga.
Kama hayo unayoyasema yakifuatwa ni THREAT kubwa kwa Chama pendwa na ofcourse inaweza kutokea kama KANU. sidhan kama hilo litawezekana
 
Back
Top Bottom