UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

We jamaa ni taahira, mwananchi ndo source yako??
1474782510028.jpg
1474782530257.jpg
Matusi yanatoka WAP kwan ungeargue kistaarab nisingeelew,mim sikutukan!!..
 
Kama rais John Pombe Magufuli angeenda nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa UN uliofanyika hivi karibuni basi angekutana na dhoruba la aina yake kutoka kwa serikali ya Marekani.

Serikali ya Marekani imemtuhumu rais John Pombe Magufuli kwa kukiuka misingi ya utawala bora katika uongozi wake nchini Tanzania huku ikiahidi kumdhibiti.

Marekani inaituhumu serikali ya rais Magufuli kwa kupora haki ya wananchi Zanzibar kwa makusudi pamoja na ukandamizaji mkubwa wa vyombo vya habari, utekelezaji wa sheria mbovu zinazominya uhuru pamoja na uonevu dhidi ya upinzani vinavyovaliwa njuga na rais Magufuli.

Kutokana na hali hiyo Marekani imesema kuwa imejipanga kuchukua hatua dhidi ya serikali ya rais Magufuli ikiwa haitajirekebisha.
ACHA WATWAJIBISHE TUJIFUNZE
 
Tuwe makini na America!! hawa wanajifanya watawala Wa dunia lakini siwema hata kidogo!! sasa kama ndo hivo wale walimi 50 wakufundisha sayansi wanakuja kufanya nini kama siyo kupeleleza Uhuru wetu nakutaka kutufanya kama Libya , siria na Saddam!! tunazo taarifa kuwa wanapenyeza ushoga ndani ya taifa letu!! hata wakiondoa misaada yao hatufi!!! halafu wapinzani waache ujinga wakujivua nguo!!halafu hao wamerica where did they get evidence kuwa Zanzibar walipokw ushindi(Cuf) ?ushahidi from one side?? that must be Creasy!!!
 
Uzi wako hauna evidence unajifariji tu... ata hivo marekan hawezi kushadadia tanzania wakati anaona burundi, syria na kwngneko
 
Kama rais John Pombe Magufuli angeenda nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa UN uliofanyika hivi karibuni basi angekutana na dhoruba la aina yake kutoka kwa serikali ya Marekani.

Serikali ya Marekani imemtuhumu rais John Pombe Magufuli kwa kukiuka misingi ya utawala bora katika uongozi wake nchini Tanzania huku ikiahidi kumdhibiti.

Marekani inaituhumu serikali ya rais Magufuli kwa kupora haki ya wananchi Zanzibar kwa makusudi pamoja na ukandamizaji mkubwa wa vyombo vya habari, utekelezaji wa sheria mbovu zinazominya uhuru pamoja na uonevu dhidi ya upinzani vinavyovaliwa njuga na rais Magufuli.

Kutokana na hali hiyo Marekani imesema kuwa imejipanga kuchukua hatua dhidi ya serikali ya rais Magufuli ikiwa haitajirekebisha.
Uchafu umetuwekea, umesababisha mpaka nitapike. Hivi marekani ni kiumbe gani?
 
Hahahaha vyama vya upinzani mbona vinatanua mzee. Huku msajili wa vyama vya siasa akijitahidi kusimamia vyama kikamilifu. Hivi tu punde amerudisha amani ndani ya chama cha cuf kwa kumrejesha Prof Lipumba. Ambaye baadhi ya viongozi ndani ya chama walitaka kupora haki yake kinyume na demokrasia. Kamanda vyama vyenyewe ndio shida ndaani kwa ndani. Chadema pia ndio kumeoza usiseme. Tumepokea watuhumiwa wa ufisadi mpaka leo chama hakina mwelekeo. Walewale tuliokuwa tukiwasema mafisadi eti leo tumewasafisha. Demokrasia gani ilitumika kuwapata na kutaka eti waende ikulu. Unyumbu huo. Acheni mambo ya kutunga hayatawasaidia
Nahisi wewe jamaa ubongo wako umekaa tenge maana sioni unapoalekea.Yaani unachokiongea sijui kama kinalenga hiyo post.Huyu jamaa ametoa post bila kujipambanua kikada lakini wewe umeshamtafutia kundi.Kwa mhemko ulioonesha ni wazi kuwa haja yako inagonga nguo ya ndani mpaka sasa...
 
Back
Top Bottom