joseph khassim
Member
- Jul 2, 2009
- 6
- 3
Hukumalizia 138 NDIYO, 9 HAPANA na 41 ABSTAINING (ZILISUSIA KURA)
1. Just for CURIOSITY mwenye INFO Je, ni nchi GANI zilizopiga kura ya HAPANA?
2. Je URT ilipiga KURA yake wapi katika makundi hayo matatu?
Sikubalini na wewe mkuu,hawa magaidi tunaowaongelea wanatofautiana na jinsi yesu alivyouawa kwa ajili ya kuwakomboa binadamu.Hawa magaidi wanalazimisha kuuwa na watu wengine (wasiokuwa na hatia) kwa faida zao na vikundi vyao!kwa mfano gaidi aliyejitoa mhanga kwenye ubalozi wa marekani mwaka 1998 alikufa yeye mwenye na watu wengine tena wasiokuwa na hatia hata kidogo!!
wewe KUJITOA MHANGA NI KUJITOA MHANGA TU.
Haina category madamu umejitoa mhanga ajili ya watu wengine ,unakubali wewe udead ili kuponya wengine.
YESU alijitoa mhanga,samsoni alijitoa mhanga,kina steve Biko.
Na hata wajapani kwenye zile KAMIKAZE MISSION.
Kwa kweli ni jambo zuri sana.
Nakubali kutokukubaliana!!nakutakia weekend njema mkuu!
ni nchi kama zanzibarKiongozi sijui sana ndio maana nauliza kama ni nchi au mkoa??!
Nashukuru umenielewa.
As for weekend,mimi SINAGA WEEKEND,SIKU NAYOTATAKA MIE NDO INAKUA WEEKEND YANGU.
Usikasirike banaaaa
Asante Njiwa, wazima lakini?
pole sana mkuu:becky:
Hapana Mkuu, sijakasirika ndio maana nimekupa HONGERA kwa Kupata Cheti cha Kuzaliwa. Hongera tena. Sasa umekuwa na utaanza kujitegemea na si kupata zile fedha za bure za kuendesha maisha kutoka USA na hao Israel.
Ni hatua moja kubwa kwa Palestina lakini wakati huohuo ni tatizo kubwa kuelekea amani ya eneo la Mashariki ya Kati. Ni wazi ushindi huu unaweza kuzaa ukiburi na assaults kwa Waisrael hali ambayo itaufanya ukanda wa Gaza kuwa mashakani zaidi. Ni vema mazungumzo yakazidi kuwepo katika eneo hilo vinginevyo kuna matatizo zaidi Masariki ya Kati kuliko ushindi wenyewe wa Wapalestina.
Hahhaaaa Mkwawa..hizo pesa hazifai ni haram wanahitaji kujitegemea kwa kutumia akili.Wasiwe kama sisi TZ kutwa tunatembeza bakuli mpaka tumejisahau kujiona walemavu na kuwa masikini wakati nchi inautajiri.Ila hata kama hawataki kusaidia Palestina wasiwawekee vikwazo waiache nchi ianze maisha mapya kwasababu kama kusaidiwa zipo nchi nyingi zilizo tajiri zitakazopenda kuisaidia ili iwe na mwanzo mzuri.God bless them
Mfano. huu hapa BBC News - US lawmakers release $88.6m in Palestinian aid hili ndilo Palestine walisahau kuwa halito kuwepo tena. Kumbuka, walisha zoea kupewa bure. Nawatakia maisha mema ya kujitegemea. Hao matajiri unao wataja, sikuwai kuwaona au sikia wakitoa msaada kwa Palestina. Haya, tusubiri na tuone nini watafanya tofauti na walicho kifanyaga.
we ulitakaje? Ebu tueleze
Let me tell you one thing:Halafu Mkwawa ndugu yangu hao wanaosema wanasaidia,kiufupi wanahali mbaya sana kimaisha.Wananchi wengi marekani hawana kazi wala mahali pa kuishi na kutegemea kupewa chakula na serikali.Kwahiyo hapa mimi naona ni danganya toto tu hiyo ikiwa ndani ya nchi yao inaanguka kiuchumi halafu wao tena wanasaidia nchi nyengine hii haingii akilini.Mimi naishi nje zaidi ya miaka 15 sasa najionea mwenyewe kwa macho yangu jinsi hali ilivo na inasikitisha.Na kingine Mkwawa kuhusu hii misaada yao,wakitoa hata huku kwetu yaani tunatukanwa nahawa wananchi ile mbaya.Kama nilivokueleza wakiwa wanatoa hiyo misaada hutangaza ktk media zao halafu uone hizo coment za wananchi wanavotutukana na kutunyanyasa.Kiufupi tu tuwaache hao Palestine wajiongoze wenyewe na wapewe nafasi na wao washirikiane na mataifa watakaowataka.Yeyote atakaetaka kuwasaidia wacha wasaidie wasiotaka na waache.
Let me tell you one thing:
Palestine produces few crops with the help of Israel. Now, how will they run their offices and government? These people need help, we all know it is USA and Israel helped these Palestinians for years. There is no other record. Is Iran and allies ready to support Palestine financially?