- Thread starter
- #41
Ngoja tuone...
Pole pole tutaelewana tu. Ujumbe umefika - rais mwanamke siyo dili ki hivyo.
Hata makamu wa rais mwanamke aliyepiga simu kumpongeza enzi hizo tuko vizuri (kabla ya siku 100), leo hii hana habari tena naye.
Madai ya uchumi bila demokrasia ni bure:
Kwani kiko vipi North Korea kwa bwana kiduku?