UN sec General Using a Kenyan Made Computer

Sammuel999

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,481
2,346

Wako wapi hao Kenya Haters ??

Hii hapa picha ambayo itawapa Sleepless wednesday

1487175058639.jpg
 
Hebu semeni vitu vinavyo eleweka...Made by Kenyan or Assembled by Kenyan. Hata mimi nime assembling my computers tangu enzi za i386. Kwa wanojuwa computers watajuwa nasema nini.
Made Baba kila kitu Cirfuit board was Engineered hapa hapa Nairobi
Designs pia

Ilienda Mass production China
Already the are opening a manufacturing unit Thika... Made hakuna Mambo ya Assembly

Kama USA wanaunda Iphone kule wanatuma designs China zije kama finished goods mtatii fam!
 
Hebu nenda uje upya, halafu ujaribu kuufanyisha ubongo wako mazoezi sio kujibu hoja kiulaini ilmradi uonekane upo tu hata kama unalipwa.
Binafsi nimefanya assembling of computers for a living back in the days, I used to hassle in Nairobi offices assembling computers for clients. So this news is not about what you seem to think.

Hapa jamaa walifanya design ya circuit board yote halafu ikawa mass produced kule Uchina. Kawaida assembling inahusu kuwa na motherboard iliyokamilika halafu unaanza kupachika vidubwasha kama CPU, memory n.k. Lakini hapa tunaongea kuhusu vijana kuchora motherboard mwanzo hadi mwisho.
 
Sasa rudi uandike tena heading, tena sema....

Oops my bad Not made by Kenyan, designed by Kenyan. Unaona mnavyo andika kwa sifa kutaka kuaminisha watu vingine mko sayari nyingine.
 
Hebu nenda uje upya, halafu ujaribu kuufanyisha ubongo wako mazoezi sio kujibu hoja kiulaini ilmradi uonekane upo tu hata kama unalipwa.
Binafsi nimefanya assembling of computers for a living back in the days, I used to hassle in Nairobi offices assembling computers for clients. So this news is not about what you seem to think.

Hapa jamaa walifanya design ya circuit board yote halafu ikawa mass produced kule Uchina. Kawaida assembling inahusu kuwa na motherboard iliyokamilika halafu unaanza kupachika vidubwasha kama CPU, memory n.k. Lakini hapa tunaongea kuhusu vijana kuchora motherboard mwanzo hadi mwisho.
Haya mkurupukaji mwingine, mnaweka vitu vya kichokozi halafu majibu yanawashinda. Siku hizi ukiwa na laptop na software nzuri unaweza hata design MK254 mwingine na aka behave vizuri kuliko huyu anaeadika hapa JF. Kenya bado kutengeneza transistor zenu, capacitor zenu, CPU zenu. Design ya circuit board ni vitu vinafanya na watoto wadigo nchi zilizo endelea, wengine mpaka wana home kit za ku print circuit board zao. Lakini wanaweza kutengeneza components? Hapana, same as Kenya. You don't manufacturer any electronics components.
 
Sasa hapo cha ajabu ni kipi? Yeye kutumia American discovered and developed laptop and 50 years later immitated/ duplicated in Kenya. How could this be a kick kwa majirani zetu? Kama mngetaka muonekane mko vizuri endelezeni ile technologia ya yule kijana ya kuzalisha umeme kwa kitanda wakati watu wanakwich kwich hiyo ingekuwa ni Kenya discovery ila hii ya laptop ni uvumbuzi wa wengine so msidandie kwa mbele.
 
Made Baba kila kitu Cirfuit board was Engineered hapa hapa Nairobi
Designs pia

Ilienda Mass production China
Already the are opening a manufacturing unit Thika... Made hakuna Mambo ya Assembly

Kama USA wanaunda Iphone kule wanatuma designs China zije kama finished goods mtatii fam!
Tunazipataje?
 
Hahaha. Nimecheka kweli, eti Kenyan made computer,
Hizo circuits watoto wadogo wanadesign, hamna jipya hapo dude..
Hata vidude simple kama diode hatuwezi kuunda halafu Leo eti Kenyan Made computer.
 
Haya mkurupukaji mwingine, mnaweka vitu vya kichokozi halafu majibu yanawashinda. Siku hizi ukiwa na laptop na software nzuri unaweza hata design MK254 mwingine na aka behave vizuri kuliko huyu anaeadika hapa JF. Kenya bado kutengeneza transistor zenu, capacitor zenu, CPU zenu. Design ya circuit board ni vitu vinafanya na watoto wadigo nchi zilizo endelea, wengine mpaka wana home kit za ku print circuit board zao. Lakini wanaweza kutengeneza components? Hapana, same as Kenya. You don't manufacturer any electronics components.

Wewe unachanganya madawa sio bure, Makonda anakuhusu. Unafikiria kudesign circuits kwenye PCB ya laptop ni kitu cha kuchezewa na watoto, mbaya zaidi hadi ikubaliwe kwenye production level na iishie kuwa laptop na itumike kwa soko la kisasa. Yaani uwe na uwezo wa kuelewa na kudadavua clock speeds of modern data buses.

Sasa hivi zipo kampuni chache sana zinazozalisha multi-layer PCB Motherboards ambazo hupewa kandarasi na kampuni kubwa.
 
Hongera zenu waKenya. Hata kama mmebambika hongereni tu. Hata kama mmeungaunga poa tu hongereni.
 
Hahaha. Nimecheka kweli, eti Kenyan made computer,
Hizo circuits watoto wadogo wanadesign, hamna jipya hapo dude..
Hata vidude simple kama diode hatuwezi kuunda halafu Leo eti Kenyan Made computer.

nyinyi si mfanye lolote karibu na hili, kukashif tu, lini mtakuwa na kitu hata kama nini vile mnasema kiwe na uhusiano na nchi yenu?? Tuna copy, ni sawa, nyinyi ipi mmejaribu kuiga??

Remember China grew by copying and now it produces its on.

So let us copy, before nyinyi muanze kukopi, we will be producing.

Do not worry, sisi tunacopi muamerica nyinyi mtatukopi!!
 
sawa lakini unaweza kukuta Bak Moon alitembelea Mabere (sehemu yenye nyumba zisizo na mpangilio /za mabati) wakati huo Mama Tubaijuka aliisaidia sana Kenya kuwa na makazi yanayoeleweka kwani ndio inaongoza kwa kuwa na squater hapa EA
hapo si UN na huwezi hamisha kila kitu toka New York upeleke Kenya kwa ajili ya hotuba ndogo
https://www.google.com/url?sa=t&rct...MLCvA6mdV5pntjnzg&sig2=C11yR6s7X0ZQFj8DriOtPw
 
Back
Top Bottom