UN kuna wasanii sanaIna maana UN. wamekengeuka tena?
sikupata kujua haya ..asante kwa taarifaUkabila tu umewajaa, historically, hakuna sehemu hata moja mliyowahi kupambana na cndd-fdd mkawashinda. Mlishakutana drc wakawatwanga, sidhani kama mmeshajiimarisha vya kutosha kupambana na cndd-fdd. Waganda tu ndio mliwapiga Congo, kwa kuwa jeshi la Uganda kazi yake kubwa ni kupambana na upinzani tu.
Hizi ripoti mbili ndani ya tofauti ya muda mfupi