UN: Rwanda bado inasaidia waasi Burundi

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
776
1,330
Ripoti ya siri iliyowasilishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa inaituhumu Rwanda kwa kuendelea kuwasaidia waasi wanaotaka kumtoa madarakani Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza.

Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, Rwanda imekuwa ikitoa mafunzo, ufadhili na usaidizi wa kimipango kwa waasi hao.

Baadhi ya maafisa wan chi za Magharibi wamekuwa wakidhani hilo lilikoma baada ya kutolewa kwa ripoti nyingine mwaka jana, lakini ripoti hiyo inasema hali ni kinyume.

Kamati ya Baraza la Usalama la UN inayoshughulika na vikwazo itajadili ripoti hiyo baadaye leo Ijumaa.

Rwanda amekana madai hayo kwamba inaingilia katika masuala ya ndani nchini Burundi.

Rais Nkurunziza alichaguliwa kwa muhula wa tatu mwezi Julai mwaka jana.

Machafuko yalizuka nchini humo baada yake kutangaza angewania kwa muhula mwingine mwezi Aprili mwaka jana.

Jaribio la mapinduzi lilitekelezwa mwezi Mei lakini halikufanikiwa.

Chanzo: BBC
 
By Michelle Nichols

UNITED NATIONS (Reuters) - A confidential report to the United Nations Security Council accuses Rwanda of providing training, financing and logistical support through early 2016 for Burundian rebels seeking to oust Burundi's President Pierre Nkurunziza.

A panel of six independent experts, appointed by the United Nations to monitor Security Council sanctions on Democratic Republic of Congo, had confidentially reported in February that 18 Burundian combatants in eastern Congo said they had been recruited in a refugee camp in Rwanda in mid-2015 and trained by instructors, who included Rwandan military personnel. Rwanda has repeatedly denied the claims.

In the experts latest report, seen by Reuters on Thursday and due to be discussed by the Security Council sanctions committee on Friday, they said "similar outside support continued through early 2016."

"This took the form of training, financing and logistical support for Burundian combatants crossing from Rwanda to DRC," the group of experts wrote in the report.

"The group met with Rwandan nationals, as well, who said they had been involved in the training of Burundian combatants or had been sent to the DRC to help support the Burundian opposition," they said.

The findings contradict suggestions from Western officials in recent months who said any Rwandan support for Burundian rebels appeared to have ceased last year. The United States said it had raised concerns with Rwanda over reports it was meddling in Burundi.

Political violence has simmered in Burundi for a year after Nkurunziza pursued and won a third term. The crisis has sparked concerns it could spiral into an ethnic conflict in a region where memories of neighboring Rwanda's 1994 genocide are fresh.

Burundi has an ethnic Hutu majority and Tutsi minority, the same split as in neighbouring Rwanda.

The U.N. experts said they had presented their findings to the Rwandan government "which denied any involvement, noting it was 'unaware of recruitment of Burundian refugees in Mahama (refugee) camp.'" Rwanda's U.N. mission did not immediately respond to a request for comment.

Some Security Council members want to deploy U.N. police to Burundi to help quell the violence and monitor the border between Burundi and Rwanda.

The U.N. experts also reported that several Congolese officers told them North Korea has supplied Congolese troops and police with pistols and sent 30 instructors to provide training for the presidential guard and special forces.

There is a U.N. arms embargo on North Korea that prevents Pyongyang from importing or exporting weapons and training. An arms embargo on Congo requires states to notify the Security Council sanctions committee of any arms sales or training.

The experts said they found that several Congolese army officers, as well as several police deployed abroad in a U.N. mission, appeared to have North Korean pistols.

The Congolese officers said the pistols were delivered by North Korea to the Congolese port of Matadi in early 2014. "The group also found that the same type of pistols was available for sale on the black market in Kinshasa," the report said.

The experts said they had asked Pyongyang and Congo for information but had not yet received a response. Congolese and North Korean officials had no immediate comment.

Political tension is high in Congo, where opponents of President Joseph Kabila say he is trying to cling to power beyond the end of his mandate in 2016. Kabila has not commented on his future.

(Additional reporting by Aaron Ross in Kinshasa; Editing by Bernard O
source: Rwanda aids Burundi rebels, N.Korea arms Congo: U.N. experts
 
Watu wafarakane bana kwani mnadhani hizo nuckear weapon zitatumika vipi kama sio kwa wajinga kama hawa wanaotafuta mabalaa wenyewe
 
Rwanda kazeni buti msilegeze kamba kwa waasi kama vipi wapeni na b52,drones, vifaru na kila silaha maana nasikia jeshi lenu kila nchi likitaka linapiga tu afu na bajeti yenu ya jeshi ni trillion 100 kila kundi mkitaka mna support tu bila shida yyte ile. Kazeni buti aisee msilegeze hata chembe, hahah
 
Hivi mkutano wa WORLD ECONOMIC FORUM umeendeleaje hapo Kigali? Au haukusikika hapa? Hahah, asee
 
By Michelle Nichols

UNITED NATIONS (Reuters) - A confidential report to the United Nations Security Council accuses Rwanda of providing training, financing and logistical support through early 2016 for Burundian rebels seeking to oust Burundi's President Pierre Nkurunziza.

A panel of six independent experts, appointed by the United Nations to monitor Security Council sanctions on Democratic Republic of Congo, had confidentially reported in February that 18 Burundian combatants in eastern Congo said they had been recruited in a refugee camp in Rwanda in mid-2015 and trained by instructors, who included Rwandan military personnel. Rwanda has repeatedly denied the claims.

In the experts latest report, seen by Reuters on Thursday and due to be discussed by the Security Council sanctions committee on Friday, they said "similar outside support continued through early 2016."

"This took the form of training, financing and logistical support for Burundian combatants crossing from Rwanda to DRC," the group of experts wrote in the report.

"The group met with Rwandan nationals, as well, who said they had been involved in the training of Burundian combatants or had been sent to the DRC to help support the Burundian opposition," they said.

The findings contradict suggestions from Western officials in recent months who said any Rwandan support for Burundian rebels appeared to have ceased last year. The United States said it had raised concerns with Rwanda over reports it was meddling in Burundi.

Political violence has simmered in Burundi for a year after Nkurunziza pursued and won a third term. The crisis has sparked concerns it could spiral into an ethnic conflict in a region where memories of neighboring Rwanda's 1994 genocide are fresh.

Burundi has an ethnic Hutu majority and Tutsi minority, the same split as in neighbouring Rwanda.

The U.N. experts said they had presented their findings to the Rwandan government "which denied any involvement, noting it was 'unaware of recruitment of Burundian refugees in Mahama (refugee) camp.'" Rwanda's U.N. mission did not immediately respond to a request for comment.

Some Security Council members want to deploy U.N. police to Burundi to help quell the violence and monitor the border between Burundi and Rwanda.

The U.N. experts also reported that several Congolese officers told them North Korea has supplied Congolese troops and police with pistols and sent 30 instructors to provide training for the presidential guard and special forces.

There is a U.N. arms embargo on North Korea that prevents Pyongyang from importing or exporting weapons and training. An arms embargo on Congo requires states to notify the Security Council sanctions committee of any arms sales or training.

The experts said they found that several Congolese army officers, as well as several police deployed abroad in a U.N. mission, appeared to have North Korean pistols.

The Congolese officers said the pistols were delivered by North Korea to the Congolese port of Matadi in early 2014. "The group also found that the same type of pistols was available for sale on the black market in Kinshasa," the report said.

The experts said they had asked Pyongyang and Congo for information but had not yet received a response. Congolese and North Korean officials had no immediate comment.

Political tension is high in Congo, where opponents of President Joseph Kabila say he is trying to cling to power beyond the end of his mandate in 2016. Kabila has not commented on his future.

(Additional reporting by Aaron Ross in Kinshasa; Editing by Bernard O
source: Rwanda aids Burundi rebels, N.Korea arms Congo: U.N. experts
Is it the same UN that accused Tanzanians of rape in the DRC?
 
hizo zitakuwa propaganda za magharibi, mnaamini bbc! habari za ukweli ziko RT buana teh! teh! teh!
 
Aisee,
Mchambawiama atasema UN ni propaganda BULL HORN.
Mara nyingi mchambawima1 anaipongeza UN ikitoa taarifa zinazoipendelea Rwanda, ikitokea wamezungumza kinyume na anayotaka kuyasikia utaona anavyorusharusha mate. Hima empire itatutesa sana nchi za great lake region.
 
not at all! actually it has become a BUTTER & BREAD for GoE(group of exempted) no one takes them serious here in Rwanda... the so called "Burundian Refugees" are unkown by UNHCR in Rwanda, couldn't identify the location of the training or at least the names of their trainers in Rwanda! so tell me my friend, what makes you to believe the group of exempted with zero accountability?
 
Huyu Kagame ndio shida kwa utulivu wa nchi za maziwa makuu.
wewe hadi leo nimeshindwa kukuelewa! sijuwi ni ujinga/chuki au ndio mambo ya kukurupuka? kwani bado kuona articles za UN ninazoleta hapa kuhusu Tanzania kutoka kwa hao Miungu wako? ulishaona tukikurupa na kubwia yote wanayotulisha? sie tushawazoea, nyie ndio mtapagawa na report za hao wahuni!
 
Mara nyingi mchambawima1 anaipongeza UN ikitoa taarifa zinazoipendelea Rwanda, ikitokea wamezungumza kinyume na anayotaka kuyasikia utaona anavyorusharusha mate. Hima empire itatutesa sana nchi za great lake region.
acha kunisingizia we IMBONERAKURE! HIMA empire karne ya 21? warundi mna kazi! hivi unajuwa mshikamano wa hao wazungu wanao wadanganya ulivyo? juzi wamejitoa kwenye sherehe za kuapishwa Museveni, sababu eti Omar Bashir kaudhuria sherehe hizo... na usije ukafikiri hata siku moja eti wanakuchukulia kama Mhutu, Mtutsi au Mzalamo... kwao wewe ni BLACK kwisha! malizeni matatizo yenu kabla hatujaja kuwatia adabu... hivi UN imeshaanza kuona umuhimu wa kulinda raia wasio na hatia... kwa hiyo tukipewa ruhusa au tukiona maji yanataka kuzidi shingo hata mkijimix na civilians tutawapata tu! jMali
 
Kuwa mpole na utafakari ni lini nchi yenu itakuwa safi kwenye taasisi za kimataifa kutokana na vitendo vya serikali ya Kigali dhidi ya Burundi? Najua wanyarwanda wengi hampendi kuona mkisemwa vibaya katika vyombo vya habari lakini hizo ni juhudi za rais wenu kutaka kuhakikisha Nkuruzinza anaondoka madarakani na kupatikana kiongozi mwingine mwenye masilahi na Rwanda. Kwa bahati mbaya imeshashindikana.
Maslahi ya rwanda ni usalama wake tu. Any destabilizing group anywhere will be delt with. Hizo interahamwe zinazojiita imbonerakure zitashughulikiwa tu.
 
Ni hiyo hiyo iliyosema wanajeshi wa kulinda amani wa umoja wa mataifa kutoka Tanzania wanatuhumiwa na ubakaji. Na sio watanzania kama ulivyo sema wewe.

No, UN's Tanzania peacekeepers accused of rape in the DRC. Keep it in mind you wank wanker!
Kweli wewe ni dimwit.
 
Maslahi ya rwanda ni usalama wake tu. Any destabilizing group anywhere will be delt with. Hizo interahamwe zinazojiita imbonerakure zitashughulikiwa tu.
Ukabila tu umewajaa, historically, hakuna sehemu hata moja mliyowahi kupambana na cndd-fdd mkawashinda. Mlishakutana drc wakawatwanga, sidhani kama mmeshajiimarisha vya kutosha kupambana na cndd-fdd. Waganda tu ndio mliwapiga Congo, kwa kuwa jeshi la Uganda kazi yake kubwa ni kupambana na upinzani tu.
 
acha kunisingizia we IMBONERAKURE! HIMA empire karne ya 21? warundi mna kazi! hivi unajuwa mshikamano wa hao wazungu wanao wadanganya ulivyo? juzi wamejitoa kwenye sherehe za kuapishwa Museveni, sababu eti Omar Bashir kaudhuria sherehe hizo... na usije ukafikiri hata siku moja eti wanakuchukulia kama Mhutu, Mtutsi au Mzalamo... kwao wewe ni BLACK kwisha! malizeni matatizo yenu kabla hatujaja kuwatia adabu... hivi UN imeshaanza kuona umuhimu wa kulinda raia wasio na hatia... kwa hiyo tukipewa ruhusa au tukiona maji yanataka kuzidi shingo hata mkijimix na civilians tutawapata tu! jMali
Nguvu hiyo haipo ! Mtaishia kuwafundisha hao wahima wenzenu kuiba madini Congo. Kuvamia Burundi ni ndoto kwenu, nina uhakika kipigo mlichopata Congo kutoka kwa cndd-fdd hamjakisahau.
 
Waambie ndugu zako waache kung'ang'ania madaraka na kuvunja katiba mengine yote is just waste of time na kutafuta mchawi wakati hayupo, lakini akili za interahamwe who knows
 
Back
Top Bottom