UN has rejected Doctor's (MAT) Request

Madaktari hawajui sheria?! Kesi ipo mahakamani, wakagoma, kama vile haitoshi wakapeleka kesi UN!

Kama hawana imani na mahakama iliyowekwa na serikali unawashauri wangeenda wapai?
 
I thought they were looking protection of all Tanzanians and not a single person. What about those who died while they were on illegal strike????? who was supposed to protect them??
 

wambie jamaa nafikiri kuna watu wanafikiria kwa kutumia matumbo baada ya kichwa ... Waulize t scan ni sh ngapi? Na kwa nini muhimbili yazengua? Waulizwe vx v8 ni sh ngapi ? Kwa nini wanaotumia matumbo wanazo kila mtaa.... Kitaeleweka tu...
 
You sound like a real Doctor. Unaonekana unajua unachokiongea. Tatizo humu ndani kuna watu wako biased, hawajadili kwa kuangalia maslahi ya wananchi ambao wengi wao ni walalahoi wasioweza kupeleka ndugu zao nje kutibiwa. Wanatetea upande dhalimu kwa sababu tu wao wananufaika na udhalimu.
 

Wewe inaelekea hata hujui madaktari wanachogomea. Sababu zilizosababisha Ulimboka apelekwe nje kwa matibabu ni hizo hizo sababu wanazodai madaktari. Muhimbili inaitwa hospitali ya rufaa lakini haina vifaa vya kufanyia kazi. Kama vifaa stashiki vingekuwepo, basi madaktari wangeweza kumtibu mwenzao hapa hapa Tanzania lakini bahati mbaya vifaa hamna.

Usiwe brain-washed kuimba matamko ya serikali kwani serikali inasema Drs wanadai mshahara wa Shs. 3.5m lakini haizungumzii kabisa madai ya mazingira bora kazini ikiwemo upatikanaji wa vifaa!!!!!

Funguka macho!!!!

Tiba
 
Kasha kula ban kwa ujinga wake

Wewe huwezi kujifananisha na Dk yeyote. Kaa kimya DHAIFU wewe. Wewe ndiye mjinga maana hujui kinachoendelea. Huyo shetani mnayemuamini sasa anakaribia kuwafikisha ukingoni. Lakini mtafikishwa huko baada ya misukosuko mingi yenye mateso na taabu. Kama sasa mna siku kadhaa hamlali, na hata security yenu nayo iko mashakani. Mtabadilisha sana malazi. Hapa hadi kieleweke. Nchi hii ni ya watanzania, siyo yenu ninyi. Tutachukua nchi yetu kisha tuwananihiiii! Maana DHAIFU hamuwezi kuongoza wenye akili. Ndiyo maana mnaogopa kukutana nao kwa sababu hamna cha kuongea na wasomi 'who have all the evidence and facts in their hands"!!!You are in for it.
 
Muanzisha thread Muongo. Atuonyeshe barua iliyoandikwa na UN Dar badala ya Prediction.
 
Hawa madr. wana akili sana,unaweza kuona walifanya ujinga kuomba ulinzi UN.Lakini nikiangalia lengo la barua hiyo kwa jicho la pili,wameifahamisha serikali kwamba hata jamaa akipoteza maisha tayari UN watakua aware na kifo cha huyu jamaa,kwani wameonyesha moja kwa moja kuhusika kwa ACP Msangi , nakisha kuonyesha kuwa huyohuyo mhusika ndio anaongoza hiyo tume ya uchunguzi.wakati principles of natural justice zinakataza mtu kama huyu kuhusishwa na shughuli zinazofanyika na tume ya uchunguzi kwa suala linalomhusu yeye moja kwa moja.
Suala hili utalichukulia juu juu,lakini pale The Hegue itakapofika Tz, utakuja kuona mlolongo wa makosa ya serikali na hili likiwemo,kwani limefika rasmi kwenye mafile yao.
 
Maneno haya huwa yanatumiwa na UAMSHO kwi! Kwi!
 

Madaktari wakilia kwamba hakuna vifaa unaona ni wajinga. Kwa taarifa yako wamempeleka huko sio kwa ajili ya shule za madaktari wa huko nje bali ni facilities ambazo hatunazo tanzania na tulitakiwa kuwanazo.
 
je unajua hospitali za rufaa tanzania zimepangiwa sh ngapi katika bajeti ya wizara ya afya ya mwaka huu?unajua imetenga sh ngapi kuwatibia wanasiasa wastaafu 11?fuatilia tafakari utaamua mwenyewe
 
mbona sielewi?haya ni majibu ya barua ya MAT kwa UN au maoni ya mleta thread?

Huu ni utumbo wa Kupenge mkuu.. ndio maana watu wenye akili zao wala huwezi kuona wanajadili hii useless thread
 

:israel: Naptwa kigugumizi juu ya Dr huyu...Aghrrrr....Plz mnisamehe wadau na ma - Dr wengine!!


 
Muanzisha thread Muongo. Atuonyeshe barua iliyoandikwa na UN Dar badala ya Prediction.
@Ta Muganyizi kwa hiyo unategemea UN walete kikosi kama kile cha MONUSCO, UNMISS ama UNMIL hivyo TZ kuwe na UNMBOKA?

Mkuu nadhani jamaa wameenda mbali zaidi kuomba ulinzi UN
 

Here, here!!!!!. ni kweli mkuu - hawa kama wanajiona ni zaidi wavuke kwa mguu hata hapo kenya au Malawi wapate kazi. hawajajijua hawa kuwa umma wa watanzania umeshaondoa imani kwao na heshima yao imeshuka wauwaji na mumiani wakubwa hawa. Hakuna sababu ya wao kupiga kelele waende huko watakakothamini hela kuliko uhai wa watu. Kwanza stahiki yao ni kuface FIRING SQUARD vishoka wakubwa hawa. waliofyekwa kwenye daftari wanauwezo wa kupata kazi wanakodhani wataajiriwa.

miaka ya nyuma wasomi waliodhani hawako tayari kushare umasikini tuliokuwa nao walijiondokea kwenda nje kimya kimya bila kelele na hakuna alielalamika wala kuwafuatilia. nawafahamu madaktari kadhaa wana hospitali Uingereza hususan Liverpool - lakini hawakuuwa kwanza ndo waondoke - hawa wa sasa ni wapuuzi mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…