UN General Assembly-Live!

UN General Assembly-Live!

Kagame ndo anahutubia sasa hivi.
 
Nimecheka kuona kihiyo wetu first lady eti naye anahutubia wake za wakuu wa nchi. Huu ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Salma anakwenda kule kuhutubia kama nani kama siyo kupigia debe kampuni yake yenye kutia kila aina ya shaka ya WAMA? Urais wa Tanzania umegeuka mali ya familia. Baba rais mke watoto hata waramba viatu wao na hata mbwa nao ni marais! Tusirudie kosa hili kuingia kwenye uchaguzi na katiba ya kipuuuzi kama hii huku tukishabikia sura za watu badala ya uwezo na usafi wao kutawala.
 
Leo ndiyo siku Ahmedinejad atatoa speech yake kwa mara ya mwisho akiwa rais wa Iran.
 
Nimepata taarifa kwamba leo kutakuwa na wazungumzaji 16,na President Ahmedinejad atakuwa ni mzungumzaji namba 7.
 
Ni zamu ya Mwai Kibaki wa Kenya hivi sasa,hivi JK yupo huko?
 
Kwa kweli ahmed ni noma speech yake kawachana U.N mbaya,na wanafiki vibaraka wote
 
Nina hamu sana ya kumsikia Paul Kagame baada ya kusoma interview yake kwenye Times ambapo aliwachana sana UN and the donors...
 
Back
Top Bottom