Umuhimu ya kuwa na mke


waalimu kina mama safiiii!!!!!!!!!!.....................safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!.......................
 
uspate shida nae huyu mwambie aende akaangalie TGTS G ni digit ngapi. na kimsingi waalimu tunamishahara mizuri kama watumish engine wa serikali ishu kwetu ni kwamba hakuna safari wala visemna na hivi tunavikompasate kwa kufanya kazi za nyumban hasa mradi ili kufeel gap. sasa wao na per diem zao bado house management inawashinda na siye ndo tunaongoza kwa house management nzuri manake hata siku kikombe kikivunjika mkono tu lazima nitajua ama mwiko ukivunjika lazima nitajua tu. sasa huyu georgeallen mara ya mwisho yeye kujua kwamba thermos ya chai home kwake imevunjika ni siku alipokuwa anaandaa chai akakosa chupa jiulize watoto walikuwa wanakunywa cha ya kumiminwa toka kwenye sufura kwa muda gani????

aisee naupenda ualimu sana tu. wenzangu wakishindana na safari mie nashindana na maua gani niongeze na yepi niyatoe kabisa na bado front line tunapiga sote.
 
walimu wa siku hizi wanasema "wanafunzi watasoma tuition":-*

mkuu nimefundisha kilakala miaka 2, nikaenda galanos miaka 3 na sasa niko kibaha mwaka wa sita huu sijawah hata uwa na darasa la tuition wala ubao nyumban kwangu zaid tu ya remedials ambazo ni mara moja kwa wiki basi.
 
Nilitaka nijifunze naona sasa umekuwa uwanja wa ndondi...napita tu!!
 
mkuu nimefundisha kilakala miaka 2, nikaenda galanos miaka 3 na sasa niko kibaha mwaka wa sita huu sijawah hata uwa na darasa la tuition wala ubao nyumban kwangu zaid tu ya remedials ambazo ni mara moja kwa wiki basi.

Aisee.....
 
Nilitaka nijifunze naona sasa umekuwa uwanja wa ndondi...napita tu!!

Bazazi hajajua tatizo nini hadi watu watwangane mangumi ya uso! Lakini KakaKiiza habari za Asubuhi!


Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…