Hapana ukiacha watu wafanye maamuzi ya namna hiyo ni hatari kweli....unaweza kushangaa nyumba ya familia inarithishwa kwa 'nyumba ndogo'........ndio maana nasema 'will inaweza kuwa contested'....hasa kama inahusu watu ambao kisheria sio warithi. Mind you hata ukiwa mzima kuna nyakati unaweza kuzuiwa kuuza mali zako mwenyewe kama inaonekana maamuzi hayo hayana sababu za msingi na yataathiri familia yako.Mkuu sibishani na hii mantiki lakini jamani si mali yangu? watu kibao wametoa nyumba zao waqfu,baadae watoto wananuna,wananuna nini sasa wakati mwenye mali kaamua? na mitoto mingine ukiiangalia pamoja na kwamba umeizaa mwenyewe imekaa kihasarahasara tu bange mtindo mmoja unajua kama hili nikiliachia nyumba au magari litauza tu linunulie msuba si bora mali zako uliachie Kanisa au Msikiti?
hahahahaha Mamndenyi,mtoto wa mwenzio ni mwanao,mwachie bana!
ndo mana wengine huwa wanaamua kuuza mali zao wakiwa hai na fedha wanatafuna,kwisha biashara.Hapana ukiacha watu wafanye maamuzi ya namna hiyo ni hatari kweli....unaweza kushangaa nyumba ya familia inarithishwa kwa 'nyumba ndogo'........ndio maana nasema 'will inaweza kuwa contested'....hasa kama inahusu watu ambao kisheria sio warithi. Mind you hata ukiwa mzima kuna nyakati unaweza kuzuiwa kuuza mali zako mwenyewe kama inaonekana maamuzi hayo hayana sababu za msingi na yataathiri familia yako.
.....halafu inatokea 'wanajaaliwa' maisha marefu mpaka miaka 100 na mali kamaliza akiwa na 60!ndo mana wengine huwa wanaamua kuuza mali zao wakiwa hai na fedha wanatafuna,kwisha biashara.
Bishanga nadhani sio suala la 'si mali yangu mwenyewe!'. Kuna hawa watoto uliowazaa hasa wakiwa chini ya 18 au 20, lazima wapate haki yao kwenye mali yako. Kama unaona choyo na hiyo mali kwa wanao usingewazaa :]]
haya mambo ya mirathi bana,mi siyapendi kabisa hata kuyasikia! sasa huyo kijana wa 'nje', kwani babake alipokufa angekua kaacha kaptula tu na mashati ina maana maisha yake nayo yangekomea hapo? kwani mama yake anafanya nn? hii huwa inasababisha wanawake na sie kuwa na vitu vyetu tunaandika majina ya watoto na kuficha. yeye mama yake alipokua anakutana na mzee vichochoroni,alishindwa kumshawishi wafanye maendeleo? ilikua ni starehe tu na nyamachoma? (sorry im a bit harsh on this manake naamini mafanikio ya mwanamme yanaletwa na mkewe. kukimbizana kubana matumiz na kujenga sion mchezo bana! msione watu wamejirundikia mali..)
NB: ingekua mie mtoto wa nje ningekuwa kimya tu,sio kuingia na kugombea. ndo mambo yanayosababisha watu wanachukia watoto wa nje kwa kuwaona adui.
Hili la wosia lina ugumu lakini.....Nilishaandika ila kuna jamaa alinambia inaweza kuhamasisha kutatishaji safari yangu!! Kwamba my wife akishajua shea yake na akiweza kushawishi watoto wake wanaweza wakakuwahisha ili waanze kumiliki rasmi!!
Kwa vyovyote vile, huyo kijana ajitahidi kuwalamba viatu ndugu zake hao. Wakimwonea huruma watamsaidia. Kisheria yeye ni mtoto wa nje (wengine wanasema ametokana na starehe badala ya committed relationship) kwa hiyo hana chake pale!
sasa si mpaka wazazi wakutoke ukiwa tayari kwenye umri wa kujitegemea,what if they die when a person is 14 or 15?
vipi kama mzazi hakuwa na mali hata kidogo? Unataka kusema wanaochwa bila mali hawakui?
Husniyo temea mate chini,i happen to be one of those niliyepoteza mzazi aliyekuwa bread earner (my mom) wakati nikiwa mdogo,we acha tu,mengine siyo ya kusimulia.Yes nilikua,yes sikufa,lakini cha moto nilikiona!
Hili la wosia lina ugumu lakini.....Nilishaandika ila kuna jamaa alinambia inaweza kuhamasisha kutatishaji safari yangu!! Kwamba my wife akishajua shea yake na akiweza kushawishi watoto wake wanaweza wakakuwahisha ili waanze kumiliki rasmi!!
Kwa vyovyote vile, huyo kijana ajitahidi kuwalamba viatu ndugu zake hao. Wakimwonea huruma watamsaidia. Kisheria yeye ni mtoto wa nje (wengine wanasema ametokana na starehe badala ya committed relationship) kwa hiyo hana chake pale!