money made man mad!Thank you. Pesa inatukuzwa mno Karucee. Money has nothing in itself by the way. It does follow our instructions diligently. So Mipango first, pesa inakuja tu. Mtu akipata pesa kabla ya mipango urahisi wa kuipoteza kwa spidi ya Km 120 kwa saa ni kubwa sana.
Plan , plan, plan
kuoa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na hela.
mipango inatangulia kwanza na mipango inaleta hela. Hela haileti mipango, inapanua mipango... Ukitaka upate hela ndio upange, umeumia..
hela haina hio heshima unayoipa. Kita aitafutaye ataiapata na ipo kwa utele.
kama ndio hivyo matajiri na watu maarufu ndio wangeongoza kwa kuoa na kuwa na ndoa nzuri... Kama huamini, waulize wazee wa holywood alisema bak
Hao ndo wanalumbana kila kukicha, tatzo watu wanafikiri et pesa ndo suluhisho la kila kituUnamaanisha wenye pesa hawalumbani? Ungejua ndoa za maskini zina maelewano mazuri kuliko za hao matajiri
Kuoa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na hela.
MIPANGO INATANGULIA KWANZA na mipango inaleta hela. hela haileti mipango, inapanua mipango... ukitaka upate hela ndio upange, umeumia..
Hela haina hio heshima unayoipa. Kita aitafutaye ataiapata na ipo kwa utele.
Kama ndio hivyo matajiri na watu maarufu ndio wangeongoza kwa kuoa na kuwa na ndoa nzuri... kama huamini, waulize wazee wa HOLYWOOD alisema BAK
Mzee wa hekima na busara tele AKA Tized , ahsante sana kwa mchango wako mzuri sana. Nimeiona quote Mkuu, uwe na jioni na weekend njema Mkuu mbarikiwe wewe na wote uwapendao.
sasa ndio umeandika kitu gani?
Unajua kulumbana kwa hoja wewe?
wewe nawe utakuwa maskini tu bila swali
1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
Unamaanisha wenye pesa hawalumbani? Ungejua ndoa za maskini zina maelewano mazuri kuliko za hao matajiri
Comment yako ina walakini sana...!
Labda nikuulize, hiyo pesa unayosema ni kiasi (shs) ngapi kwako? #nooffenceplz
Kuoa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na hela.
MIPANGO INATANGULIA KWANZA na mipango inaleta hela. hela haileti mipango, inapanua mipango... ukitaka upate hela ndio upange, umeumia..
Hela haina hio heshima unayoipa. Kita aitafutaye ataiapata na ipo kwa utele.
Kama ndio hivyo matajiri na watu maarufu ndio wangeongoza kwa kuoa na kuwa na ndoa nzuri... kama huamini, waulize wazee wa HOLYWOOD alisema BAK