Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Mtoto anajifunza dunia inayomzunguka kutokana na michezo. Sense ya kwanza ya mtoto huwa ni mdomoni, chochote anachoshila atataka akifahamu utamu wake kupitia mdomo. Cha pili ni makali mpaka utu wa mgongo ukimpata massage sehemu hizo atalala fofo hasa akiwa ameshiba.
Ni vizuri kuwafundisha watoto wanapouliza maswali kuwajibu kwa ufasaha. Kumbukumbu hizi zitawasaidia baadae. Kumfundisha mtoto kuhesabu kwa matunda, au mboga zinalipa TIL ana nyumbani ni njia nzuri zaidi ya kushika ubao na chaki.
Nchi za Scandinavia watoto huanza formal education katika umri wa miaka saba. Huku chini watoto wanakwenda shule kucheza lakini michezo iko kwenye mfumo wa kuelimisha.
Research imeonyesha nchi hizi zina watoto wachache wenye matatizo ya Attention Deficiti Hyperactivity Disoder ADHD. Kulinganisha na Amerika ya kaskazini ambako watoto wengi huanza formal education katika umri wa miaka 4-5.
Shule za English medium nyingi zinaendeza mfumo huu. Lakini wazazi wengi wanaona fahamu kusema mtoto alimaliza shule ya msingi akiwa na umri wa miaka 12. Huku ni kukomaza watoto.