comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,916
- 6,662
Presidential Debates: Who Makes the Rules? | The Reeves Law GroupNow, please educate me. Who should organize a debate for our presidential candidates??!
Presidential Debates: Who Makes the Rules? | The Reeves Law GroupNow, please educate me. Who should organize a debate for our presidential candidates??!
Mdahalo muhimu sana, naona wananchi wa Arusha wao wameamua mdahalo uwepo hata ngazi ya kata yaani udiwani kama hapa ndani ya video hii hapa chini
Hapa anazidi kumpaisha Lisu Kila hoja anayojibu anamuongezea kura Lisu, kaanza nakwenye hoja yamajimbo Lisu naye anaichambua nakutoa Mifano sijui nayo Kama itamwacha salama.Kweli Lissu ni noooma! kama ndivyo basi machinga wote warudishiwe 20,000/= zao.
wameamua siyo wameamuliwa- UMEONA EE
Mkuu kama hamna imani na tume ya uchaguzi- huo mdahalo mnauendeshaje na kwa gharama ya nani? na kwa nini sasa?Wamesukumwa na hoja za wananchi kutaka kuwafahamu vizuri wagombea na pia sera za vyama vyao kupitia mdahalo.
Hivyo wanasiasa mbele ya wananchi lazima wasiwe wagumu wenye ukaidi kukimbia mdahalo.
Ni vizuri mdahalo lakini jiwe kamwe hatokubali kuumbuka mchana kweupe kwenye mdahalo huo.