Umuhimu wa kusafisha utumbo mpana

Taya

Member
Jan 13, 2016
8
22
UMUHIMU WA KUSAFISHA UTUMBO MPANA

Kuna sababu 18 ambazo zinkupelekea ULAZIMIKE kusafisha utumbo wako MPANA. HILI ni eneo ambalo uchafu wote ambao unahitajika kutoka kwa njia ya haja KUBWA UNAKWAMA.
1. UCHAFU HUO HUPELEKEA WADUDU WENGI KUISHI ENEO HILI KAMA BACTERIA,VIRUS, MINYOO YA KILA AINA NA UKUBWA MBALI MBALI
2.VYUMA KUTOKA VIWANDANI NA MASUFURIA YA ALUMINIUM YATUMIKAYO KUPIKIA
3. MAFUTA YALIYOGANDA KWENYE KUTA ZA TUMBO
4. MAWE
5.PRESERVATIVES( KEMIKALI ZINAZOZUIA VITU VINGINE VISIHARIBIKE)
MKUSANYIKO WA UCHAFU WA AINA ZOTE HIZI HUSABABISHA MATATIZO NA MAGONJWA YAFUATAYO;
1. KUTOPATA CHOO MARA MBILI NA ZAIDI KWA SIKU
2.KUWA NA GESI TUMBONI
3. TUMBO HUCHAFUKA MARA KWA MARA
4.MATATIZO YA MAGONJWA YA MOYO
5.KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME
6.MATATIZO YA HEDHI
7.UTI SUGU
8.KIUNGULIA
9.GANZI YA MIGUU NA VIDOLE
10.MIFUPA KUVIMBA
11.KUBADILIKA BADILIKA KWA KIWANGO CHA SUKARI KATIKA DAMU
12.MAUVIMBE MWILINI NA SARATANI YA TUMBO
13.MAGONJWA YA NGOZI
14. KUKOSA USINGIZI NA KUMBU KUMBU
15.MWILI KUKOSA NGUVU
16.HARUFU MBAYA MDOMONI NA KIKWAPA
17.MACHO KUTOONA VIZURI
18. UVIMBE WA TEZI DUME(PROSTATE GLAND)

UNAWEZA KUSAFISHA TUMBO HILO KWA KUTUMIA 4LIFE FIBRE SYSTEM PLUS( 10 DAYS) . KWA MAWASILIANO PIGA 0659-649891

upload_2016-1-28_10-42-53-png.319696
upload_2016-4-5_16-58-6.png
 
mkuu, mwili una mfumo wake wa kusafisha hayo mambo yote uliyosema, usiwe na wasiwasi.
 
View attachment 335027

Wajemeni mimi na aleji na haya madawa ya kisasa ya kimtandao. hivi nikipata side effects naazia wapi. Think Twice !!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom