Bora nihongwe pesa, ukihongwa asset siku ya kuachana jiandae kufedheheka. Wananyang`anya kila kitu. We nipe pesa ninunue nachotaka na sio unileteee hakuu sitaki.
Nakuja leo ila mitaa ya rock city nkutoe kiepe mishikakiMie nikihongwa CHIPS MISHIKAKI roho inakuwa kwatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
teh teh tehA
Achukue alichokuhonga ??
Huyo me au baradhul... na wewe boya atachukuaje wakati alikula tam yako ndo akanogewa mpaka kuhonga?
Patawaka moto bila kiberiti siku hiyo na hata kaa kusahau hilo bobo atakalolivaa!
Bora yako mkuu ulifanya hivyo.nliwahi kuhonga kabati la nguo mpk leo akiliona ananikumbuka ananipigia simu
Na achaje sa kula mzigo, dawa yao ndo hio mwingine nataka nihonge kitanda najua ata kua kala chamboBora yako mkuu ulifanya hivyo.
Ungemuhonga hela angekula zikaisha asingekuwa anakukumbuka mazima.
Najua saa hizi ukiomba kukumbushia enzi hizo hupewi vikwazo sana.
Karibu twende Villa Park mishikaki yao ni mizuri sana hahahahahahahahahahaha😀😀Nakuja leo ila mitaa ya rock city nkutoe kiepe mishikaki
Mwanamke anayevutiwa na ben kinyaiya atakuwa ana matatizo kidogo.akikutana na wakina Ben kinyaiya,hemed PhD unachapiwa na pesa zako wanahongwa wao eti kisa wanafanana nao nyie hongeni tu maana wanawake bado hawaeleweki wanataka nn ?
Mwanamke anayevutiwa na ben kinyaiya atakuwa ana matatizo kidogo.
Wee hujawajua ww, nimeshuhudia mdada mmoja hivi kakombewa kila kitu ndani chumba kikabaki cheupeee. Sina hamu mie wanaume wengine wapo poa ila wengine ni vichaaA
Achukue alichokuhonga ??
Huyo me au baradhul... na wewe boya atachukuaje wakati alikula tam yako ndo akanogewa mpaka kuhonga?
Patawaka moto bila kiberiti siku hiyo na hata kaa kusahau hilo bobo atakalolivaa!
Kukombewa vitu inategemeana na jinsi mnavyoachanaWee hujawajua ww, nimeshuhudia mdada mmoja hivi kakombewa kila kitu ndani chumba kikabaki cheupeee. Sina hamu mie wanaume wengine wapo poa ila wengine ni vichaa
Mi ukinizingua nakomba adi papuchi yako ubaki emptyWee hujawajua ww, nimeshuhudia mdada mmoja hivi kakombewa kila kitu ndani chumba kikabaki cheupeee. Sina hamu mie wanaume wengine wapo poa ila wengine ni vichaa
We hupendi kuhongwa bibie??
Mi ukinizingua nakomba adi papuchi yako ubaki empty