Umuhimu wa kugawanya majukumu serikalini

Umuhimu wa kugawanya majukumu serikalini

Usifananishe maendeleo ya majimbo ya huko USA na pengine na sisi tukiwa na majimbo tutakuwa kama wao, kumbuka wao mpaka sasa wana maraisi waliopita zaidi ya 40, na sisi ndio kwanza 5, wao wametoka kwenye safari ndefu sana kufikia pale so usijidanganye.

Na pia ukigawa nchi kwa zone kiuwongozi wa kujitegemea, kuna baadhi ya zone au majimbo yatakuwa masikini sanaaaaa. Kwa mfano kuna zone zitakuwa na bandari na pengine na muradi mikubwa ya kuingiza fedha hivyo zitanufaika sana, wakati kuna zone hazina miladi yeyote ya mapato iliyomikubwa, sasa wataendeleaje!!!?

Kumbuka maendeleo ya sasa unakuta hela nyingi zinatoka kwenye mikoa fulani halafu zinakwenda kutatua shida za mikoa mingine, lkn kama itagawanywa kwa mtindo huo maana yake itakuwa hakuna maendeleo kwa baadhi ya zone na huku zone nyingine zikinufaika sana, na itafika wakati tutazihama zone zetu kwa kukosa mapato na kwenda zone nyingine na tutafukuzana kwa kudai zone hazitakiwi kuingiana kama hivyo
Sifa kubwa ya kiongozi nikutafuta mbinu na vyanzo vipya vya mapato. Kuna nchi hawajui hata mgodi wa dhahabu unafananaje lakini wana maendeleo makubwa zaidi yetu. Hvyo kutokuwa na maliasili haimaanishi kuwa hakuna mbinu mbadala za kukuza uchumi.
 
Hivi kwa nini wana JF mnapendaga kunishushua? 🤣🤣🤣😁😁😁😊😊😊😊😊😊
 
Back
Top Bottom