Umuhimu wa feedback kutoka kwa wanafunzi

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,967
31,909
leo najiskia kuandika tu humu leo,lol

najua mama ndalichako ana washauri wengi kutoka wizara yake,

ila sijui kama anashirikisha maoni ya wanafunzi katika kutoa matamko,

ningependa kumwambia awa engage wanafunzi katika maamuzi yake,

wao ndio wanajua wanataka nini katika masomo yao,

sio JF inasema nini,au washauri wako wanasema nini,

wasikilize wanafunzi wenyewe,

kila mwisho wa muhula wanafunzi wapewe sehemu ya kufanya reflection,

watoe wapi waliona kwenye topic ni nzuri,na wapi waliona pabaya,nini kiboreshwe ,

hii pia itawaibua walimu ambao si wazuri au wanapenda ngono.
 
Back
Top Bottom