Mpagazi/حامل/porteur/portzigar/ nadha sasa umeelewaAiseee mi sijaelewa kbsa hii story .. Nadhani hilo neno potter ungeliweka kwa kiswahili story ingeeleweka
Ngoja nianze kutimiza laptop kwa habari simu iwe ku comment tu.Mkuu sky Eclat unakuwaga na habari za maana Sana kutujuza lkn uandishi wako nashindwa hata kuelezea....lugha kwako F, habari unaifinya Sana wakati haikustahili kufinywa...yaani dah [emoji22]
Anakuwaga km anakimbizwa vile au ameacha mboga jikoni inaunguaMkuu sky Eclat unakuwaga na habari za maana Sana kutujuza lkn uandishi wako nashindwa hata kuelezea....lugha kwako F, habari unaifinya Sana wakati haikustahili kufinywa...yaani dah [emoji22]
Anakuwaga km anakimbizwa vile au ameacha mboga jikoni inaungua
Kiswahili cha wapi hiki? Lamu au mombasa?Ngoja nianze kutimiza laptop kwa habari simu iwe ku comment tu.
Labda kwa kuongezea ni kwamba, Biometric Passport pia imechemka hadi imekuja ePassport ambayo kwa 75% ndio suluhisho la kuwadhiti wahalifu wanaouvuka mipaka (transnational criminals) wauza madawa na wasafirishaji wa binadamu aidha kwa nguvu au kwa makubaliano (human traffickers na smugglers}. ePassport inakuwa na biometrics data zako kama vile fingerprints, facial recognition, na retina biometrics. Cha mno katika hizi ePassport ni kinachozizidi biometric passports ni kwamba, safari zako zote zinarekodiwa ndani ya chip iliyomo ndan ya passport. Huwezi kudanganya tena kwa ule ujanja wa wauza unga zamani wakiondokea Nairobi kwenda Pakistan wanashukia Lilongwe then wanafanya ujanja kuvuka boda pale Kasumulu bila kutumia passport za Tanzania ili movement isisomeke, kwa sasa wamekwamaVisa kama hivi na vingine vilichangia kuundwa kwa biometric passports.
Nimemuelewa kiasi. kwamba kuna kijana akitumia pasport ya uingereza alisafiri kwenda Moroco, huko aliuwawa na mpagazi. mpagazi alichukua pasipoti ya huyo kijana na kuitumia kuingia nchini Uingereza kujitafutia maisha.Mkuu huwa uko vzuri sana kwnye kuchangia mada na huwa napenda sana michango yako kwnye majukwaa mbalimbali LAKINI inapokuja swala la kuanzisha uzi kiukwl sijawahi kuelewa nyuzi mfano hata huu wa leo sijauelewa kwakwl,embu jitahd style ile unayotumia kujibu michango na hoja za wanajamvi uwe unaitumia kwnye kuandika nyuzi zako kwakwl utakuwa super! Btw asante kwa kutujuza kwa walioelewa
Tofauti ni ndogo sana, kwamba zote zinahifadhi taarifa zako kama alama za vidole, uso na mboni za macho. ePassport ni kwamba pamoja na hizo biometrics pia inahifadhi taarifa za safari zako na visa (eVisa) katika chip iliomo ndani ya hio pasipot.Je biometric pasi ni sawa na e-pasi au ni tofauti?
Tofauti ni ndogo sana, kwamba zote zinahifadhi taarifa zako kama alama za vidole, uso na mboni za macho. ePassport ni kwamba pamoja na hizo biometrics pia inahifadhi taarifa za safari zako na visa (eVisa) katika chip iliomo ndani ya hio pasipot.
Samahani nje ya mada nini maana ya BTW?
Shukrani mkuuKifupi cha 'By the way'
Nahisi kuwa, mtoa mada ni aina ya watu very intelligent, watu wengi wa aina hii huwa wanaelezea jambo kwa kifupi tu na hudhani wanaowaelezea wameelewa kama wao. Hata mazungungumzo yao ni ya mikatomikato tu. Otherwise: siyo kila mtu ni mwalimu au mtunga story kama the bold
Moja ya sababu nashindwaga kuanzisha Uzi ni hzMkuu huwa uko vzuri sana kwnye kuchangia mada na huwa napenda sana michango yako kwnye majukwaa mbalimbali LAKINI inapokuja swala la kuanzisha uzi kiukwl sijawahi kuelewa nyuzi mfano hata huu wa leo sijauelewa kwakwl,embu jitahd style ile unayotumia kujibu michango na hoja za wanajamvi uwe unaitumia kwnye kuandika nyuzi zako kwakwl utakuwa super! Btw asante kwa kutujuza kwa walioelewa