Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,083
- 1,499
Na sasa bado huelewiHueleweki mwandambo
Vitaje hivyo vitu vingi Sana unavyovielewa.Inanifanya niweze kuelewa vitu vingi sana. Pia nilisoma Odinary diploma nilishia NTA level 4 ila Mpaka leo sijapata kujua inanisaidiaje. Na nyie naomba mtoe ushuhuda kua diploma au A level inakupa faida gani kubwa? View attachment 3516201
Yani kwamba imekusaidiaje, kuandika vitabu au nini, maana hata mimi sijaelewa post 😁Inanifanya niweze kuelewa vitu vingi sana. Pia nilisoma Odinary diploma nilishia NTA level 4 ila Mpaka leo sijapata kujua inanisaidiaje. Na nyie naomba mtoe ushuhuda kua diploma au A level inakupa faida gani kubwa? View attachment 3516201
Inanifanya niweze kusoma mambo mengine nje na fani niliyoanza kuisoma. Pia inanifanya niweze kusoma mambo mapya kwenye fani. Kwakuwa mengi yanayosomwa diploma ni outdatedVitaje hivyo vitu vingi Sana unavyovielewa.
Hivi ni vitabu ambavyo nimeanza kuvisoma naona A level inanisaidia kupatapata Point kaza. naamini isingekuwa rahisiYani kwamba imekusaidiaje, kuandika vitabu au nini, maana hata mimi sijaelewa post [emoji16]
IQ yako ni bellow avarageHivi ni vitabu ambavyo nimeanza kuvisoma naona A level inanisaidia kupatapata Point kaza. naamini isingekuwa rahisi
anakwambia fani za diploma ni outdatedLabda uzungumzie mtu Aliyesoma diploma peke ake ila ambaye ameunganisha degree usimchukulie poa
Picha linaanzia chuo tu mtu wa a level asilimia 90 ya vitu vinakuwa vipya ila wa diploma ni kama anafanya muendelezo wa aliyoyasoma
Kweli kabisa aiseeA level inakupanua akili na kukupa muda wa kukua kua kabla ya kwenda kupambana na realities za maisha chuoni
Huna Diploma.. NTA level 4 ni Certificate futa hapo kwenye DiplomaPia nilisoma Odinary diploma nilishia NTA level 4
Labda ana shule za advance anatafuta watejaanakwambia fani za diploma ni outdated
hii nayo pointLabda ana shule za advance anatafuta wateja
Nimekosea ni courseanakwambia fani za diploma ni outdated
Huu mjadala kuna mtu atatupa taulo chini ila mimi nakataa.. sio kweli na nimesoma A level piaKweli kabisa aisee
JustifyIQ yako ni bellow avarage
Well said.Labda uzungumzie mtu Aliyesoma diploma peke ake ila ambaye ameunganisha degree usimchukulie poa
Picha linaanzia chuo tu mtu wa a level asilimia 90 ya vitu vinakuwa vipya ila wa diploma ni kama anafanya muendelezo wa aliyoyasoma