Umuhimu na hasara za kuwa Group 0 negative

Abby Uladu

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
2,031
4,236
Habari za usiku

Baada ya kupata magonjwa siku za karibuni ikanibi niende hospital ya Benjamin hapa Dodoma.

Nikacheki vipimo vyote ila nilipofika kwenye kipimo cha damu daktari alikuwa ananipa majibu huku Anatabasamu huku akiniambia kuwa nina bahati sana kuna kwenye kundi hili la damu(group 0 negative) na akaniandika jina kwenye White book na kuomba namba yangu.

Akaniambia nikihitajika na hospital nisisite kutoa msaada

Je, kuna umuhimu gani kuwa katika kundi hili(group 0 negative) na hasara zake ni nini hasaa?

Nb: Masomo ya India niliyakimbia yote nilibutua D
 
Faida:
Mwenye damu group O Negative anaweza kumpa mtu wa kundi lolote la damu.

Hasara:
  • Mtu mwenye damu O negative hawezi kupokea damu kwa kundi lingine lolote la damu isipokuwa kwa O negative mwenzake ( O negative anaweza kumgawia damu O positive ila hawezi kupokea damu kwa O positive)
  • Ndio kundi la damu ambalo wanalo watu wachache zaidi Duniani
 
Hakika
 
Habari za usiku

Baada ya kupata magonjwa siku za karibuni ikanibi niende hospital ya Benjamin hapa Dodoma.

Nikacheki vipimo vyote ila nilipofika kwenye kipimo cha damu daktari alikuwa ananipa majibu huku Anatabasamu huku akiniambia kuwa nina bahati sana kuna kwenye kundi hili la damu(group 0 negative) na akaniandika jina kwenye White book na kuomba namba yangu.

Akaniambia nikihitajika na hospital nisisite kutoa msaada

Je, kuna umuhimu gani kuwa katika kundi hili(group 0 negative) na hasara zake ni nini hasaa?

Nb: Masomo ya India niliyakimbia yote nilibutua D
SAS dada si ungemuuliza kbsa huko huko ili uje hapa ukiwa umekamilika ili sis tujaze nyama .....haraka San Rudi hospital jtatu uje na majibu hapa yanayoeleweka
 
Mna faida kwenye damu na hamuugui kirahisi...
Yes. Hii ni kweli. Mm pia ni mmoja wapo wa hao "O" Negative. Dr. Alinithibitishia hilo, huwa hatuugui Mara kwa Mara. Ila akanionya kuwa sio kwamba amenipa go ahead ya kugegeda nikijua kuwa sitoweza kuupata. Nikacheka kweli kweli.

Ki uhalisia, kwa upande wa kuugua, hilo naweza kulithibitisha mwenyewe. Hadi hata wanaonijua, ikitokea nimepata Malaria, hushaangaa na kuanza kuniuliza Mara ya mwisho kuugua ni lini!?

Wataalamu wanadai kuwa hili group la damu ni resistant kwa magonjwa tofauti na magroup mengine ya Damu. Ila tusibweteke, tuzidi kuzingatia kanuni zote za afya.
 
In short O wengi wapo hivyo halafu kuna hawa AB kuumwa ni kugusa tu
 
Habari za usiku

Baada ya kupata magonjwa siku za karibuni ikanibi niende hospital ya Benjamin hapa Dodoma.

Nikacheki vipimo vyote ila nilipofika kwenye kipimo cha damu daktari alikuwa ananipa majibu huku Anatabasamu huku akiniambia kuwa nina bahati sana kuna kwenye kundi hili la damu(group 0 negative) na akaniandika jina kwenye White book na kuomba namba yangu.

Akaniambia nikihitajika na hospital nisisite kutoa msaada

Je, kuna umuhimu gani kuwa katika kundi hili(group 0 negative) na hasara zake ni nini hasaa?

Nb: Masomo ya India niliyakimbia yote nilibutua D
Ushakuwa An Fit.
Hufai kuajiriwa Jeshini ama vyombo vyote vya ulinzi na Usalama
 
Back
Top Bottom