Ninadhani ni self confidance tu kuna matajiri ambao designer gear wanamudu kununua lakini hawazishobokeiKuna wanaotafuta hadhi kwa mavazi...!! Na wapo ambao hadhi zao znawasukuma kuvaa aina fulani ya mavazi..!! Na kundi la tatu ambalo yaani ht wawe na hadhi gani wao mavazi yao hua aina ileile
Weusi wengi wanapenda sana kuvaa vizuri unakuta mtu ana suit ya $500 tena ni mbili au tatu lakini hana $500 kwenye accout. Kuna wakati ninawaza inaweza kuwa psychology effects za utumwaKuna watu wanaishi kwa maigizo. Anataka vazi kulingana na bei yake bila kujali uimara na unadhifu. Mwingine atataka vazi flani kisa kuna mtu fulani maarufu kavaa la aina ile. Ni kweli lakini kuna profession zinahitaji mavazi ya kipekee na yenye ubunifu wa hali ya juu kama vile waigizaji, wanamitindo na wanamuziki. lakini utakuta mtu labda ni mwalimu au mwanasiasa au ni mfanyabiashara basi ana complicate kwenye mavazi hadi anasahau kufuatilia mambo mengine, inafikia anasahau hadi majukumu yake.
Ila mimi sijui nikoje, sichaguagi kabisa mitindo wala siishobokei. ninachojali ni nguo safi, za heshima na zinazonisetiri. Amini usiamini...... hata nikikutana na mtu huwa siangalii kavaa namna gani au kavaa mtindo gani, labda awe uchi au nguo zake chafu ndio nitagundua. vinginevyo hata akiniuliza baada ya kuachana alikuwa kavaa nguo gani sitakumbuka.
hata nikikutana na mtu huwa siangalii kavaa namna gani au kavaa mtindo gani, labda awe uchi au nguo zake chafu ndio nitagundua. vinginevyo hata akiniuliza baada ya kuachana alikuwa kavaa nguo gani sitakumbuka.
Mahatma Gandhi aliuangusha Ufalme wa Uingereza kwa kueaongoza Wahindi wakatae kuvaa nguo za kigeni na kupenda kuvaa zao.Unakuta dhati la Gucci linauzwa shillingi laki tano za ki- bongo na wakati mashati mazuri ya Egyptian cotton yanauzwa Tshillings 50,000 lalakini kuna watu Watson a ufahari kumiliki shati la Gucci labatini mwake.
Kununua designer gear mi ufahari au hulks tu ya mtu?
Wanawapata sana hawa.Kuna watu wanaishi kwa maigizo. Anataka vazi kulingana na bei yake bila kujali uimara na unadhifu. Mwingine atataka vazi flani kisa kuna mtu fulani maarufu kavaa la aina ile. Ni kweli lakini kuna profession zinahitaji mavazi ya kipekee na yenye ubunifu wa hali ya juu kama vile waigizaji, wanamitindo na wanamuziki. lakini utakuta mtu labda ni mwalimu au mwanasiasa au ni mfanyabiashara basi ana complicate kwenye mavazi hadi anasahau kufuatilia mambo mengine, inafikia anasahau hadi majukumu yake.
Ila mimi sijui nikoje, sichaguagi kabisa mitindo wala siishobokei. ninachojali ni nguo safi, za heshima na zinazonisetiri. Amini usiamini...... hata nikikutana na mtu huwa siangalii kavaa namna gani au kavaa mtindo gani, labda awe uchi au nguo zake chafu ndio nitagundua. vinginevyo hata akiniuliza baada ya kuachana alikuwa kavaa nguo gani sitakumbuka.
Wengine wapo kimaslahi hadi kwenye mavazi aiseeWanawapata sana hawa.
Nike wanatengeneza viatu vinauzwa mpaka $ 3,000 kwa sababu tu vimetengenezwa vichache.
Halafu Mchina anatengeneza copy anaviuza $50.
Ukiangalia mtu kavaa huwezi kujua nani kavaa vya Mchina na nani kavaa vya Nike.
Ujinga mtupu.
Lakini ndiyo maisha waliyochagua. Siwalaumu.
Wacheni waishi kivyao.
Inawezekana ni fursa ya biashara kwako pia.
Ushawahi kumuona Bill Gates, Mark Zuckerberg au Warren Buffet kavaa nguo zenye maandishi makubwa ya "Gucci" au lebo kama hizo?Wengine wapo kimaslahi hadi kwenye mavazi aisee
Aaaa Wapi. Wale wanatupa simple zao tu na zinawato vizuri kuliko wale wanao complicate.Ushawahi kumuona Bill Gates, Mark Zuckerberg au Warren Buffet kavaa nguo zenye maandishi makubwa ya "Gucci" au lebo kama hizo?
Good questionUnakuta shati la Gucci linauzwa shillingi laki tano za ki- bongo na wakati mashati mazuri ya Egyptian cotton yanauzwa Tshillings 50,000 lakini kuna watu Wataona ufahari kumiliki shati la Gucci kabatini mwake.
Kununua designer gear ni ufahari au hulka tu ya mtu?
Nchi za magharibi sasa hivi wako macho sana na mizigo inayoingia kwao hizi fake products za mchina zinahatatisha uchumiWanawapata sana hawa.
Nike wanatengeneza viatu vinauzwa mpaka $ 3,000 kwa sababu tu vimetengenezwa vichache.
Halafu Mchina anatengeneza copy anaviuza $50.
Ukiangalia mtu kavaa huwezi kujua nani kavaa vya Mchina na nani kavaa vya Nike.
Ujinga mtupu.
Lakini ndiyo maisha waliyochagua. Siwalaumu.
Wacheni waishi kivyao.
Inawezekana ni fursa ya biashara kwako pia.