Umuhimu gani wa kuvaa designer name kama kuvaa ni Kushiro maingo?

Au mfano ni wengi wanaoshobokea kadet za Dickies, wakati ni mbovu hakuna mfano
 
Mimi napenda vitu vizuri,vya gharama. Ndivyo nilivyo. Si kwamba ni show off,bali ndivyo nilivyo. Ninahisi kuwa na amani nikimiliki kitu cha gaharama kubwa. Sinaga kampani za mashosti hata niseme kuwa najilinganisha nao,bali ni tabia yangu ilivyo. So msihukumu mtu anayevaa brand kubwa kubwa na bei kwa kuwa kuna mavazi ya bei ndogo nayo ni mazuri.
Kila mtu ana preference zake kwenye mahitaji.
 
Back
Top Bottom